Profesa Muhongo: Siyo haki kutengeneza sanamu kama ishara ya kumkumbuka marehemu, ingejengwa taasisi ya huduma za kijamii

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mbunge wa Musoma vijijini, Prof Muhongo amesema siyo kumbukumbu nzuri kumtengenezea sanamu marehemu au hayati na badala yake ni kheri fedha hizo zikatumike kujenga taasisi ya kuhudumia jamii kwa ajili ya kumbukumbu ya huyo anayetakiwa kukumbukwa.

Chanzo: Tanzania Abroad tv
 
Ujinga umetamalaki nchi hii, eti wanamjengea sanamu dhalimu mwendazake!!!! Kwa lipi hasa?

Bomoa Bomoa, udikteta, kubambikia watu kesi FAKE na kisha kuwapora billions zao? Kuwapora wenye maduka ya pesa za kigeni Arusha na Dar?

Kuteka, kutesa na mauaji ya kutisha?
 

Mawazo mazuri, yanini kuteketeza 420m kwa ajili ya sanamu?
 

Prof. Sospeter Muhogo ameongea la maana, wanaotaka kumuenzi wajenge maktaba au kitu chochote kwa matumizi ya wengi ambacho kitaweka kumbukumbu za marais wastaafu. Hili la sanamu halina faida.

Wangepitisha muswada bungeni kama ilivyo USA ambapo pesa zisizo za serikali zinaweza kujenga maktaba kwa ajili ya ukkumbusho n.k




The Presidential Libraries Act after 50 Years

By Raymond Geselbracht and Timothy Walch


Last November 18, former President William J. Clinton exercised the provisions of a little-known law that has helped assure the preservation of presidential history for 50 years.

On that day, he transferred ownership of the new William J. Clinton Presidential Library to the U.S. Government, marking the 10th time since 1955 that a former President had invoked the Presidential Libraries Act.

Read more : The Presidential Libraries Act after 50 Years
 

Mwambie Profesa asiogope! Sanamu itajengwa na taasisi zitaanzishwa na mengine meeengi
 
Naona ifike mahali huu ujinga wa kutumia majina ya viongozi mali za umma majina ya viongozi kisa dhamana ife. Kodi ni zetu halaf mnaleta ujinga. Tukukumbuke vipi na kodi no zetu na ulikubali kuwa kiongozi mwenye dhamana. Huu ujinga ufee
 
Hiyo pesa ingetumika kuazzisha taasisi huru itakayoitwa Magufuli. Taasisi itakayotoa mafunzo ya utawala bora.

Jina la marehemu litukumbushe na kutufundisha ubaya wa udikteta. Matukio yote mabaya aliyoyafanya marehemu yatumike kama mifano ya utawala mbaya.

Wananchi tupo tayari hata kuchanga kwaajili ya kuanzisha taasisi hiyo.
 
Angalau leo ameamka hajambo
 
Hakuna jina linanichefua kama kuitwa Magufuli terminal maamaae.

Ile Mbezi Terminal sounded way too better.
Lakini kwakua kuna wapumbavu kutwa kujikomba komba basi ndo hivyo. Ni kwanini sisi watanzania wajinga hivi? Kwanini mambo ya kijamii na huduma tunazoletewa na serikali inainekana mama vile tunafanyiwa favour wakati ni kodi zetu? Kiongozi hupeleka pesa kutokana na mahitaji husika. Huu ujinga ufe. Kwani nikimkumbuka ndo napata hela? Mfieew.
 
Maajabu TZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…