miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
[emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo pesa ingetumika kuazzisha taasisi huru itakayoitwa Magufuli. Taasisi itakayotoa mafunzo ya utawala bora.
Jina la marehemu litukumbushe na kutufundisha ubaya wa udikteta. Matukio yote mabaya aliyoyafanya marehemu yatumike kama mifano ya utawala mbaya.
Wananchi tupo tayari hata kuchanga kwaajili ya kuanzisha taasisi hiyo.
... kwa hili nakubaliana na Prof. Muhongo. Hizo fedha wangejenga hata shule moja nzuri ya msingi pale kijijini Chato wakaiita jina la marehemu inge-sound better than msanamu.Mawazo mazuri ,yanini kuteketeza 420m kwa ajili ya sanamu?
... ha ha ha! We jamaa ha ha ha! Eti jina la marehemu litukumbushe madhila ya udikteta!Hiyo pesa ingetumika kuazzisha taasisi huru itakayoitwa Magufuli. Taasisi itakayotoa mafunzo ya utawala bora.
Jina la marehemu litukumbushe na kutufundisha ubaya wa udikteta. Matukio yote mabaya aliyoyafanya marehemu yatumike kama mifano ya utawala mbaya.
Wananchi tupo tayari hata kuchanga kwaajili ya kuanzisha taasisi hiyo.
Angalau mtakuwa mmepata sanamu ya kuabudu.Mwambie Profesa asiogope! Sanamu itajengwa na taasisi zitaanzishwa na mengine meeengi
Angalau mtakuwa mmepata sanamu ya kuabudu.
Alitemeshwa mzigoHuyu mzee bado ako na uchungu na Marehemu.
Hakuna jina linanichefua kama kuitwa Magufuli terminal maamaae.
Ile mbezi Terminal sounded way too better.
Lakini kwakua kuna wapumbavu kutwa kujikomba komba basi ndo hivyo. Ni kwanini sisi watanzania wajinga hivi? Kwanini mambo ya kijamii na huduma tunazoletewa na serikali inainekana mama vile tunafanyiwa favour wakati ni kodi zetu? Kiongozi hupeleka pesa kutokana na mahitaji husika. Huu ujinga ufe. Kwani nikimkumbuka ndo napata hela? Mfieew.
Mkuu mambo yote hayo unaona ni madogo? Unadhani kumpiga risasi mbunge mchana kweupi ni Jambo dogo?Ujinga umetamalaki nchi hii, eti wanamjengea sanamu dhalimu mwendazake!!!! Kwa lipi hasa? Bomoa Bomoa, udikteta, kubambikia watu kesi FAKE na kisha kuwapora billions zao? Kuwapora wenye maduka ya pesa za kigeni Arusha na Dar? Kuteka, kutesa na mauaji ya kutisha?
Hiyo pesa ingetumika kuazzisha taasisi huru itakayoitwa Magufuli. Taasisi itakayotoa mafunzo ya utawala bora.
Jina la marehemu litukumbushe na kutufundisha ubaya wa udikteta. Matukio yote mabaya aliyoyafanya marehemu yatumike kama mifano ya utawala mbaya.
Wananchi tupo tayari hata kuchanga kwaajili ya kuanzisha taasisi hiyo.
Prof aliyenyamazishwa na std seven ameibuka Tena .Duuuu prof huna vitu vya kujadili yaani wewe ni personality kwenda mbeleMbunge wa Msoma vijijini Prof Muhongo amesema siyo kumbukumbu nzuri kumtengenezea sanamu marehemu au hayati na badala yake ni kheri fedha hizo zikatumika kujenga taasisi ya kuhudumia jamii kwa ajili ya kumbukumbu ya huyo anayetakiwa kukumbukwa.
Source: Tanzania Abroad tv
Mkuu utatoka kijiba cha roho ,hata ufanyeje baada mwendazake ni shujaa wetu ,ni majizi,mafisadi tu ndio wanamuona mwendazake hajafanya kitu nchi. Uliona wapi miundo mbinu inajengwa bila bomoabomoa?Ujinga umetamalaki nchi hii, eti wanamjengea sanamu dhalimu mwendazake!!!! Kwa lipi hasa? Bomoa Bomoa, udikteta, kubambikia watu kesi FAKE na kisha kuwapora billions zao? Kuwapora wenye maduka ya pesa za kigeni Arusha na Dar? Kuteka, kutesa na mauaji ya kutisha?
Hahaha jamaa umenivunja mbavu aisee, naimagine unavyoliiba, litakuwa zito sana nahisi. HalibebekiJengeni hilo sanam ila mjue tutaliiba tu
Wacha ujinga hakuwa na ushujaa wowote zaidi ya roho ya kwanini tu.Mkuu utatoka kijiba cha roho ,hata ufanyeje baada mwendazake ni shujaa wetu ,ni majizi,mafisadi tu ndio wanamuona mwendazake hajafanya kitu nchi. Uliona wapi miundo mbinu inajengwa bila bomoabomoa?
Kabisa, tungejenga campus ya UDSM pale chato nakuita JPM memorial collage, pale main entrance ndio tuweke sanamu yake,Mbunge wa Msoma vijijini Prof Muhongo amesema siyo kumbukumbu nzuri kumtengenezea sanamu marehemu au hayati na badala yake ni kheri fedha hizo zikatumika kujenga taasisi ya kuhudumia jamii kwa ajili ya kumbukumbu ya huyo anayetakiwa kukumbukwa.
Source: Tanzania Abroad tv
Maslahi yake binafsi ya kuhujumu nchi yaliminywa na marehemu ndio maana alipinga kila mradi ulioanzishwa na merehemu kuanzia stigler gorge .Huyu mzee bado ako na uchungu na Marehemu.