Unaweza kusoma ukiwa na njaa?Acheni kucheza na serikali ya awamu ya tano na hoja zenu mfu,someni acheni siasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi dola na nguvu ya uma nani mwenye power, usicheze na nguvu ya umma wewe umma ukiamua hakuna wa kuutuliza si polisi wala jeshi labda uuwe wote ,eti akuna wa kushindana na serikali,sema watanzania ni waoga tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hitimisho lao katika barua nanukuu "SISI WANA DARUSO WA HALI YA CHINI."
Pesa za mkopo halafu mnataka maandamano..
Hao viongozi yapaswa wafunzwe adabu kwa kuchapwa viboko hadharani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa mkopo we zeze la jiwe nyie si wanyonge wenye pesa kila siku tunamkia jiwe akisema pesa ipo
Pesa za mkopo halafu mnataka maandamano..
Hao viongozi yapaswa wafunzwe adabu kwa kuchwapa viboko hadharani...
Sent using Jamii Forums mobile app