GODZILLA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 5,909
- 10,542
Hawa nao si wawape tu hiyo mikopo!
Wanaendesha mashangingi ya bei mbaya na kujitanua kwenye viyoyozi wanakula machips tu!
Shangingi moja la hapo Ikulu likiuzwa linawalipia ada wanafunzi hamsini na zaidi!
Mmeyaatamia hayo mashangingi humo mna biashara gani nayo?
Halafu si tunasikia kwamba makusanyo yamepanda na mafisadi yote yamedhibitiwa hivyo mapesa yapo mengi?
Sent using Jamii Forums mobile app