Huwezi kuwaona hapo, alafu wakiambiwa Magu alikuwa akilikubwa wana sema anaempenda akazikwe.Haya sasa ajitokeze aliyekua analalamika hadharani kuchomwa kwa vifaranga vya kenya wakati yeye kaviua vya beberu kwa njaa aiseee karma
Sasahivi mbona hamlaumu Mama yenu, mwisho lawama zinarudishwa kwa mamlaka au vyombo vya Serikali?Taasisi ikivuruga inalaumiwa na ikifanya vizuri inapongezwa,kiongozi akivuruga ni mwendo wa kila mtu kumlaumu na akifanya vizuri atapongezwa tu.
Mama yuko ofisini kwake na anafanya kazi kama kawaida,kwamba tumlaumu,tumlaumu kwa jambo gani?Sasahivi mbona hamlaumu Mama yenu, mwisho lawama zinarudishwa kwa mamlaka au vyombo vya Serikali?
Wamnyang'anye madaraka wakosa gani, anzia hapo kwanza.Hivi huyu serikali ni nani na anaishi wapi....maana amekuwa chanzo cha matatizo mengi....na kwanini wananchi wenye nchi yao hawamuwajibishi au kumnyang'anya madaraka yake!?
Wewe ungekuwa professor ungeingiza vifaranga bila kibali?.Nimewahi kusema prof wa bongo ni sawa na tutorial assistant huko Dunia ya kwanza. Wengi ni wajuaji but content hawana. Ndiyo maana Magufuli alikuwa anawachukulia poa sana na aliwaona hamnazo akawa anawaswaga Kama ng'ombe.
Watavichoma moto. Ndiyomaana joto limezidi na ukameWavimwage baharini ili samaki nao washerehekee mwaka mpya! [emoji41]
Achana na hayo mataahira mkuu,utaumiza kichwa bure.Sasahivi mnamlaumu tasisi sio Rais, kipindi cha Magufuli vifaranga 2000 kutoka Kenya,vilipochomwa kelele zote zilielekezwa kwa Magufuli sio tasisi, kweli Tanganyika kuna watu wanafiki.
Nandio maana tunapiga hatua mbili mbele then hatua sita nyuma.tuna bussiness community ya hovyo! Kila mtu kwenye business anataka afanikiwe kwa kufahamiana na huyu na yule na nyoko... hawataki kufuata sheria na taratibu.
Kwanza unajua hizo sheria ziliwekwa kwa ajili ya nini?.Sheria za kipumbavu zisizo na majibu ila kuumiza wafanyabiashara.
Magonjwa ya ndege yapi ambayo mpaka sasa yamethibitiswa kuwa vifaranga walikuwa nayo. Hii lazima itakwenda na wahusika wote waliochelewesha mpaka vifaranga wakapoteza maisha.Huna akili,
Huko shambani kuna waTanzania wenzako, Ulitaka wafe kwa magonjwa ya ndege?.
Acheni sheria zilinde uhai wa wananchi.
Kwani wakati mnamlaumu Magufuli kuwa kateketeza vifaranga kutoka Kenya, Magufuli ndiye aliyetoka ofisini kwake kwenda kuviteketeza?Samia tumlaumu kwa kutowachukulia hatua hao wasaidizi wake, Maana hili swala la vifaranga lilianza kijadiliwa mda kwanini hakuchukua hatua kuvinusuru wakati alikuwa na tarifa?au haujui mtu kapoteza mtaji wa million 200?Mama yuko ofisini kwake na anafanya kazi kama kawaida,kwamba tumlaumu,tumlaumu kwa jambo gani?
Walamba asali wanapita kimya kimya kumanina zao 🤣🤣🤣!Team walamba asali wamekaa kimya , kipindi cha magu kuchomwa wale vifaranga sidhani ata kama buku wanafika waliimba kila nyimbo za kumkashifu jpm ,hili la vifaranga zaidi ya elfu sitini imewabidi walamba asali wafunike makalio yao na kuacha mbupu zinaning'ia kwa aibu.
Hukuwahi kusikia container liliojaa parachichi za Tanzania liliteketezwa Afrika ya Kusini na muhusika kulipa gharama zote?Magonjwa ya ndege yapi ambayo mpaka sasa yamethibitiswa kuwa vifaranga walikuwa nayo. Hii lazima itakwenda na wahusika wote waliochelewesha mpaka vifaranga wakapoteza maisha.
Una kiwango gani Cha elimu. Sasa hapo vifaranga vilitakiwa kuteketezwa. Shida tupuHukuwahi kusikia container liliojaa parachichi za Tanzania liliteketezwa Afrika ya Kusini na muhusika kulipa gharama zote?
Tuliza kichwa! Nchi zote duniani haziendeshwi kwa akili na mawazo ya aina ya kwako. Taratibu za dunia lazima ziheshimiwe, siyo kwa kutaja bhla! bhla! zako hizi.