Profesa Nonga: Vifaranga 62,730 kutoka Ubelgiji vilivyokamatwa JNIA vyote vimefia Airport

Profesa Nonga: Vifaranga 62,730 kutoka Ubelgiji vilivyokamatwa JNIA vyote vimefia Airport

Haya sasa ajitokeze aliyekua analalamika hadharani kuchomwa kwa vifaranga vya kenya wakati yeye kaviua vya beberu kwa njaa aiseee karma
Huwezi kuwaona hapo, alafu wakiambiwa Magu alikuwa akilikubwa wana sema anaempenda akazikwe.

MUDA UNAONGEA.
 
Taasisi ikivuruga inalaumiwa na ikifanya vizuri inapongezwa,kiongozi akivuruga ni mwendo wa kila mtu kumlaumu na akifanya vizuri atapongezwa tu.
Sasahivi mbona hamlaumu Mama yenu, mwisho lawama zinarudishwa kwa mamlaka au vyombo vya Serikali?
 
Hatima yao ndio hiyo. Kwani na wao si wanazikwa tu.

Tunajuwaje walikuwa ni vijijasusi kutoka huko.
 
Hivi huyu serikali ni nani na anaishi wapi....maana amekuwa chanzo cha matatizo mengi....na kwanini wananchi wenye nchi yao hawamuwajibishi au kumnyang'anya madaraka yake!?
Wamnyang'anye madaraka wakosa gani, anzia hapo kwanza.

Kama ni kwaajili ya vifaranga pia usema.
 
Nimewahi kusema prof wa bongo ni sawa na tutorial assistant huko Dunia ya kwanza. Wengi ni wajuaji but content hawana. Ndiyo maana Magufuli alikuwa anawachukulia poa sana na aliwaona hamnazo akawa anawaswaga Kama ng'ombe.
Wewe ungekuwa professor ungeingiza vifaranga bila kibali?.
 
Sasahivi mnamlaumu tasisi sio Rais, kipindi cha Magufuli vifaranga 2000 kutoka Kenya,vilipochomwa kelele zote zilielekezwa kwa Magufuli sio tasisi, kweli Tanganyika kuna watu wanafiki.
Achana na hayo mataahira mkuu,utaumiza kichwa bure.

Hii nchi haitapata maendeleo ya kweli kwa sababu ya kuwa na mijitu kama hiyo.

Sorry for the bad language.
 
tuna bussiness community ya hovyo! Kila mtu kwenye business anataka afanikiwe kwa kufahamiana na huyu na yule na nyoko... hawataki kufuata sheria na taratibu.
Nandio maana tunapiga hatua mbili mbele then hatua sita nyuma.
Mambo ya hovyo sana.
 
Sheria za kipumbavu zisizo na majibu ila kuumiza wafanyabiashara.
Kwanza unajua hizo sheria ziliwekwa kwa ajili ya nini?.
Alafu Jiulize kama wewe unauwezo wakuingiza kifaranga hatakimoja bila utaratibu huko vilipotoka hivyo 60thousand.
 
Huna akili,
Huko shambani kuna waTanzania wenzako, Ulitaka wafe kwa magonjwa ya ndege?.

Acheni sheria zilinde uhai wa wananchi.
Magonjwa ya ndege yapi ambayo mpaka sasa yamethibitiswa kuwa vifaranga walikuwa nayo. Hii lazima itakwenda na wahusika wote waliochelewesha mpaka vifaranga wakapoteza maisha.
 
Mama yuko ofisini kwake na anafanya kazi kama kawaida,kwamba tumlaumu,tumlaumu kwa jambo gani?
Kwani wakati mnamlaumu Magufuli kuwa kateketeza vifaranga kutoka Kenya, Magufuli ndiye aliyetoka ofisini kwake kwenda kuviteketeza?Samia tumlaumu kwa kutowachukulia hatua hao wasaidizi wake, Maana hili swala la vifaranga lilianza kijadiliwa mda kwanini hakuchukua hatua kuvinusuru wakati alikuwa na tarifa?au haujui mtu kapoteza mtaji wa million 200?
 
Team walamba asali wamekaa kimya , kipindi cha magu kuchomwa wale vifaranga sidhani ata kama buku wanafika waliimba kila nyimbo za kumkashifu jpm ,hili la vifaranga zaidi ya elfu sitini imewabidi walamba asali wafunike makalio yao na kuacha mbupu zinaning'ia kwa aibu.
Walamba asali wanapita kimya kimya kumanina zao 🤣🤣🤣!

Naikumbuka ile saga ya Vifaranga waliopigwa nali Arusha. Jumba bovu aliangushiwa JPM oh raisi katili sijui blaah blaah lile swala liliongelewa kama vile waliokufa ni watu.
 
Kwani Sheria inazuia vifaranga kupewa huduma ya chakula na maji iwapo kama vimeingiizwa nchini bila kibali. Je hapo walipovihifadhi kuna huduma gani kuendana na Hali ya mazingira inayomlazimu kifaranga kuishi. Hii SI sawa kabisa kusababisha vifo vya viumbe wadogo kabisa wasiokuwa na uwezo wowote wa kujilinda. Wahusika wawajibishwe Kwa ukatili Kwa wanyama.
 
Magonjwa ya ndege yapi ambayo mpaka sasa yamethibitiswa kuwa vifaranga walikuwa nayo. Hii lazima itakwenda na wahusika wote waliochelewesha mpaka vifaranga wakapoteza maisha.
Hukuwahi kusikia container liliojaa parachichi za Tanzania liliteketezwa Afrika ya Kusini na muhusika kulipa gharama zote?
Tuliza kichwa! Nchi zote duniani haziendeshwi kwa akili na mawazo ya aina ya kwako. Taratibu za dunia lazima ziheshimiwe, siyo kwa kutaja bhla! bhla! zako hizi.
 
Sasa serikali ilishindwa vipi kuvipelekea maji na vyakula vifaranga hivyo hadi vife
 
Yule mama wa kibo alichoma vifaranga kwa kukosa soko, huku vimekufa 64elf kwa kukosa huduma. Mvua zinapogoma kunyesha tusiilumu nature
 
Hukuwahi kusikia container liliojaa parachichi za Tanzania liliteketezwa Afrika ya Kusini na muhusika kulipa gharama zote?
Tuliza kichwa! Nchi zote duniani haziendeshwi kwa akili na mawazo ya aina ya kwako. Taratibu za dunia lazima ziheshimiwe, siyo kwa kutaja bhla! bhla! zako hizi.
Una kiwango gani Cha elimu. Sasa hapo vifaranga vilitakiwa kuteketezwa. Shida tupu
 
Back
Top Bottom