Usiulize kiwango cha elimu, uliza kiwango cha uelewa. Wengi munavyo vyeti vya elimu lakini uelewa ni mdogo kama unavyoonesha hapa, OK!Una kiwango gani Cha elimu. Sasa hapo vifaranga vilitakiwa kuteketezwa. Shida tupu
Duh!Hivi wewe unaona huyo ni professor? Kama vifaranga vina maambuzi na magonjwa iweje aende bila tahadhari? Hana safety yeyote ya kumkinga asipate maambuzi ya ugonjwa kutoka kwenye vifaranga, kwahiyo anarudi nyumbani kueneza ugonjwa? , Professor kabisa kaenda vile kukagua vifaranga na atuambie Kuna maambuki? Hawa professor wa Tanzania ni vichekesho, kwani wana soma wapi?
Wewe kwa akili yako vifaranga vinaweza toka Ubelgiji kwa usafiri wa ndege bila Export Permit?Kwanza unajua hizo sheria ziliwekwa kwa ajili ya nini?.
Alafu Jiulize kama wewe unauwezo wakuingiza kifaranga hatakimoja bila utaratibu huko vilipotoka hivyo 60thousand.
CCM NI ILE ILE BHANAKwani wakati mnamlaumu Magufuli kuwa kateketeza vifaranga kutoka Kenya, Magufuli ndiye aliyetoka ofisini kwake kwenda kuviteketeza?Samia tumlaumu kwa kutowachukulia hatua hao wasaidizi wake, Maana hili swala la vifaranga lilianza kijadiliwa mda kwanini hakuchukua hatua kuvinusuru wakati alikuwa na tarifa?au haujui mtu kapoteza mtaji wa million 200?
Mmeambiwa vifaranga vimeingia nchini kimakosa muhusika hakufuata utaratibu nyie mnajifanya kama hamnazo mnatetea uhalifu.Magonjwa ya ndege yapi ambayo mpaka sasa yamethibitiswa kuwa vifaranga walikuwa nayo. Hii lazima itakwenda na wahusika wote waliochelewesha mpaka vifaranga wakapoteza maisha.
Akili yangu imefanyaje, soma hapa chini.Wewe kwa akili yako vifaranga vinaweza toka Ubelgiji kwa usafiri wa ndege bila Export Permit?
Mbona mkali sana. Na wewe ni mmojawapo nini. Mmeua vifaranga lazima muwajibikeMmeambiwa vifaranga vimeingia nchini kimakosa muhusika hakufuata utaratibu nyie mnajifanya kama hamnazo mnatetea uhalifu.
Kwahiyo kama ugonjwa haukudhibitishwa ndio Ulitaka viachwe viingie mitaani? Huko vilikotoka wewe unaweza kupeleka vifaranga katika mazingira kama hayo?.
Then wahusika siku wakiacha vikaingia kiholela watu wakafa kwa magonjwa nyienyie mtakuja na matusihapa kutukana wahusika kwamba wamekula rushwa na kuruhusu bidhaa hatarishi kuingia nchini kiholela.
Hivi unajua kwamba hata hukovilipotoka huwezi kuvirudisha bila kibali maalum?
Acha ushabiki kwenye mambo ya hatari mnatia aibu sana.
Ajabu sana, wamekamata vifaranga wakadhani wamekamata mawe, wakayaacha huko Airport wao wakaendelea kula sikukuu zao za mwisho wa mwaka, kuna watendaji wa serikali wazembe sana.
Mbona mkali sana. Na wewe ni mmojawapo nini. Mmeua vifaranga lazima muwajibike
Wewe kwa akili yako vifaranga vinaweza toka Ubelgiji kwa usafiri wa ndege bila Export Permit?
Hivi huyu serikali ni nani na anaishi wapi....maana amekuwa chanzo cha matatizo mengi....na kwanini wananchi wenye nchi yao hawamuwajibishi au kumnyang'anya madaraka yake!?
Anae toa kibali ni DVS Mwenyewe ambae ndio alivizuia vifaranga hapo Airport. Kwa madai yake ni kwamba maombi ya vibali hayakumfikia.Tatizo ofisi za umma zimejaa rushwa. Watoaji vibali kama waliombwa, waulizwe kwa nini hawakutoa?
Kama hawakutoa kwa uzembe na kusubiria rushwa, wafukuzwe kazi, na mafao yao yatumike kumfidia mkulima.
Watu wanatumia hisia sana kulijadili hili swala. Ila swala la kuingiza mnyama hai nchi yeyote hua ni critical sana, ukikosea kidogo unaweza pata hasara kubwa sana.Kuna shida pande zote mbili
1.Mwagiza Vifaranga
2.Watoa vibali
Haiwezekani tu vifaranga vizuiwe kama taratibu zote zilifanyika,kuna shida tu mahali si Rahisi hili jambo.
Hasara hiyo ni kubwa nina uhakika kama vibali vingekua vimenyooka ni simu tu zingepgwa hata kama mtu hayupo go agead ingetolewa Vifaranga vingepita.
ila katika hili lazima kuna shida pande zote mbili .
Alifikri anajibizana na ndezi mwenzake! Umemjibu kwa upole kweli!Nina Masters Degree na nimewahi kuwa CEO wa Taasisi kubwa ya Serikali inayohusiana na importation, kwa sasa ni retired officer.
Njoo tatatibu usilete matusi
Kwani huyo mwekezaji kama angepata kibali kabla ya kuwaingiza hapa nchini angepata hasara gani? Yaani uipe serikali kazi 2 kwa wakati mmoja? Hii siyo sawa! Hicho alichokutana nacho ndiyo njia sahihi ili liwe fundisho na kwa mesheni town wengine!Kwan wangeviweka quarantine kwenye shamba la muagizaji na kumchapa fine zingine zingine ingekuwaje?
Wafanyabiashara wa kipumbavu wanataka kutuingizia magonjwa ya mlipuko tukose kuku hapa nchini! Niko upande wa maafisa wa serikali!Sheria za kipumbavu zisizo na majibu ila kuumiza wafanyabiashara.
Hujui kitu, wanyama wana moyo hawana roho. Kama wliingizwa kinyemela hiyo ndio dawa pekee. Lazima nchi iendeshwe kwa taratibu siyo kama CHADEMA mtu anaamka na mbege kichwani anatangaza kubadili gia angani.Hao viumbe... Roho zao zitawaandama
Mbona unatetea sana. Unaogopa nini. Mmefanya makosa Kwa kuwatesa viumbe wasio na hatia mpaka kupelekea vifo. Mnatakiwa muwajibike. Unajua viumbe hai vina uhuru wa kutokuwa na njaa au kiu. Sheria ya ustawi wa wanyama Tanzania inasema hivyo na nyie ndiyo wizara husika. Iweje mvunje Sheria mliyoianzisha wenyewe. Kuna mfugaji Moshi alichoma vifaranga, wizara ya mifugo ikasema itamchukulia hatua Kwa kukiuka Sheria ya ustawi wa wanyama, Haya Sasa na nyie jichukulie hatua Kwa kukiuka Sheria ya ustawi wa wanyama Tanzania.Mnabwabwaja sana humu ila ruhusuni akili zenu zifanye kazi walau kidogo.
Vifaranga havijakamatwa ila vilizuiwa kuingia nchini kwa sababu nyaraka za uingizaji hazikukamilika kwa mujibu wa Sheria za masuala ya uingizaji mifugo nchini.
Umuhimu wa jambo hili ni kulinda afya za wanyama waliopo nchini na kulinda afya za watu dhidi ya magongwa yanayoweza kuletwa na wanyama kutoka nje ya nchi.
Tangu kuzuiwa vifaranga hao wahusika waliarifiwa wachukue hatua ikiwemo kuwarudisha vifaranga hao, kama hawakuchukua hatua mlitaka Wizara ifanyeje? Ichukue risk ya kuingiza vifaranga nchini kinyume cha Sheria alaf kesho mje hapa kusema ile Wizara imejaa rushwa??
Kwanza jiulizeni kama tuna wazalishaji wa ndani wanakosa pa kuuza kwanini watu wanaenda kuagiza nje? Wana agenda gani?
Watanzania tumekuwa na desturi ya kulaumu na kulalamika hata kwa tusiyoyajua kama yapo Kisheria na nchi zingine ni hivyo hivyo ila kwakuwa nchi zingine hawana utani katika kusimamia Sheria ndo maana hatusikii mtu kapeleka vifaranga Uchina n.k
Tena nchi za Ulaya wapo strict sana ila sisi ndo mnatamani tuwe shamba la bibi na mali ya wapiga dili bila kujali afya za watu.