Tujifunze kufata utaratibuMamlaka za kibongo zina ukiritimba sana!!??
so vifaranga vimekufa kwa njaa!!?
Wafuate huko walipokimbilia we nyau.Nchi hii ina wapuuzi wengi sana,ndio maana Proffesa Asad alisema watumishi wengi na viongozi serikalini wana uwezo mdogo sana
Ndio maana hatuendelei, maana wenye uwezo na akili wengi wakipata nafasi wanakimbilia nje,kuanzia wawekezaji, wanasiasa na wasomi,tunabaki na wapumbavu watupu
Wanaofaa kuwa maraisi wazuri na wabunge wamekimbia nchi,wafanyabiashara wakubwa wanawekeza nje,wasomi nao wakipata shavu nje hawarudi.
huna sababu ya kuhamaki, nimekutana nayo sana hayo madudu, je tuna mfumo wa kuwajibishana inapotokea issue kama hii. Cha msingi ni kufuata taratibu tu, kama ukikatisha kwa mazoea ndo kama hivi. Nani hajui haya mambo kama yapo?????Acha ujinga,hivi vitasisi vya Serikali kuna baadhi ya Watendaji ni wapumbavu sana TRADE BARRIERS hasa Wizara ya Kilimo.
Kama aliomba kibali Wizarani na hakupata majibu, kwa nini aliingiza mzigo? Mzigo ungekuwa na hitilafu bado tungewalaumu Wizara kwa kutodhibiti uingizaji bidhaa holela. Namsikitikia mkulima huyu. Ila kama alifuata taratibu akadai haki/fidia mbele ya sheria.Unachekesha. Kwa hiyo kwa kutokujibiwa ndio anakosa mtu wa kumlaumu? Au kinyume chake?
Utaratibu usiyofuata sheria na maadili ya kazi siyo utaratibu.Nowdays dunia ni kijiji mfanyabiashara anaweza nunua bidhaa mahali popote kulingana na uhitaji wake wa kisheria na kibiashara.Tunapozungumzia uzalendo wa kulinda mifugo yetu na vyakula vyeti isiwe sababu ya kuwanyima watu fursa ya kupata vibali kwa muda mwafaka.huna sababu ya kuhamaki, nimekutana nayo sana hayo madudu, je tuna mfumo wa kuwajibishana inapotokea issue kama hii. Cha msingi ni kufuata taratibu tu, kama ukikatisha kwa mazoea ndo kama hivi. Nani hajui haya mambo kama yapo?????
Bahati mbaya mimi na wewe tunajadiliana hapa kama kukumbushana tu, hatuna chochote tunachokijua juu ya sakata hili zaidi ya hizi taarifa za mtandaoni. Kawaida ya ukweli huchelewa kuja, tuvute subira.Utaratibu usiyofuata sheria na maadili ya kazi siyo utaratibu.Nowdays dunia ni kijiji mfanyabiashara anaweza nunua bidhaa mahali popote kulingana na uhitaji wake wa kisheria na kibiashara.Tunapozungumzia uzalendo wa kulinda mifugo yetu na vyakula vyeti isiwe sababu ya kuwanyima watu fursa ya kupata vibali kwa muda mwafaka.
Sasa hapo ni kujua utaratibu nini kinaanza na kama kulikuwa na mazungumzo kabla na Wizara kuwa wewe agiza mzigo by the time unafka kibali kitakuwa kimetoka. In any case, kama aliomba kibali, Wzara inawajibika kumjibu kuwa kapewa au la, badala ya kukaa kimya.Kama aliomba kibali Wizarani na hakupata majibu, kwa nini aliingiza mzigo? Mzigo ungekuwa na hitilafu bado tungewalaumu Wizara kwa kutodhibiti uingizaji bidhaa holela. Namsikitikia mkulima huyu. Ila kama alifuata taratibu akadai haki/fidia mbele ya sheria.
Wewe utakuwa mtumishi wa serikali niliowazumgumzia hapo,wengi ni wapumbavu,hamtumii akili,mkishindwa hoja ni matusi,polisi na nguvu,wenye akili wamekimbia, wamebaki wachache mno,na hao wanapigwa vita sana huko maofisiniWafuate huko walipokimbilia we nyau.
Niliwahi kurudisha mbuzi nilikowatoa sababu ya kukosa vyeti vya bwana mifugo wa wilaya husika. Ni utaratibu, niliumia lakini ndo ukweli.Utaratibu usiyofuata sheria na maadili ya kazi siyo utaratibu.Nowdays dunia ni kijiji mfanyabiashara anaweza nunua bidhaa mahali popote kulingana na uhitaji wake wa kisheria na kibiashara.Tunapozungumzia uzalendo wa kulinda mifugo yetu na vyakula vyeti isiwe sababu ya kuwanyima watu fursa ya kupata vibali kwa muda mwafaka.
Wafuate taratibuMamlaka za kibongo zina ukiritimba sana!!??
so vifaranga vimekufa kwa njaa!!?
Hii Wizara ya Kilimo ni shida sana na ni hatari kwenye mitaji ya watu.Bahati mbaya mimi na wewe tunajadiliana hapa kama kukumbushana tu, hatuna chochote tunachokijua juu ya sakata hili zaidi ya hizi taarifa za mtandaoni. Kawaida ya ukweli huchelewa kuja, tuvute subira.
Je huko ulikokua hakukuwa na Wataalam wa kukusaidia kupata vyeti katika zama hizi utandawazi?Niliwahi kurudisha mbuzi nilikowatoa sababu ya kukosa vyeti vya bwana mifugo wa wilaya husika. Ni utaratibu, niliumia lakini ndo ukweli.
Hasara haziwezi kuisha iwapo asilimia themanini katika taasisi hiyo ni wabovu na wapenda rushwa.Tujifunze kufata utaratibu
Tujifunze kupanga mambo yetu vizuri kabla ya kuanza utekelezaji.
Tujifunze pia kujua "utamaduni" wa taasisi na vyombo vyetu vya maamuzi.
Haya yanaweza kutusaidia KUYOKUOATA HASARA zinazoweza kuepukika.
Tatizo ofisi za umma zimejaa rushwa. Watoaji vibali kama waliombwa, waulizwe kwa nini hawakutoa?huna sababu ya kuhamaki, nimekutana nayo sana hayo madudu, je tuna mfumo wa kuwajibishana inapotokea issue kama hii. Cha msingi ni kufuata taratibu tu, kama ukikatisha kwa mazoea ndo kama hivi. Nani hajui haya mambo kama yapo?????
1. Le Professeri anasema wenye vifaranga wana kesi ya kujibu?au sijaelewa?Ndicho walichotaka.
Unawezaje kuxuia vifaranga what's next ni lazima vife.
Vifaranga havikuwa na mtetezi.
Ni ukweli kwamba watendaji wengi wa Serikali wana uwezo mdogo sana na wamekosa maadili, hawa ni kikwazo kwa maendeleo ya nchi.Wafuate huko walipokimbilia we nyau.
Kama aliomba kibali Wizarani na hakupata majibu, kwa nini aliingiza mzigo? Mzigo ungekuwa na hitilafu bado tungewalaumu Wizara kwa kutodhibiti uingizaji bidhaa holela. Namsikitikia mkulima huyu. Ila kama alifuata taratibu akadai haki/fidia mbele ya sheria.
Inasikitisha kwa kweli.1. Le Professeri anasema wenye vifaranga wana kesi ya kujibu?au sijaelewa?
2. Anaongea hayo wakati V8 imepaki kumsubiria boss impeleke hotelini, kisha
3. kesho asubuhi aanze Tena safari ya kurudi Dodoma baada ya kula per Diem ya kuja kuangalia vifara Dar airport