Profesa Nonga: Vifaranga 62,730 kutoka Ubelgiji vilivyokamatwa JNIA vyote vimefia Airport

Profesa Nonga: Vifaranga 62,730 kutoka Ubelgiji vilivyokamatwa JNIA vyote vimefia Airport

Kama aliomba kibali Wizarani na hakupata majibu, kwa nini aliingiza mzigo? Mzigo ungekuwa na hitilafu bado tungewalaumu Wizara kwa kutodhibiti uingizaji bidhaa holela. Namsikitikia mkulima huyu. Ila kama alifuata taratibu akadai haki/fidia mbele ya sheria.
Yaonekana huyu mkulima amezoea njia za mkato. Na hapa yawezekana watu wake wa airport anaowatumia siku zote walichanganyana.

Ili dili kama hizi zibumbuluke, lazima walishawahi kuzulumiana michongo ya nyuma. Haiwezekani hivi hivi
 
Nimesikia ware vifalanga wa kuku wariongizwa kinyume cha shelia ya mifugo namba 15 ya 1972 kifungu kidogo cha 7 iliyofanziwa malekebisho mwaka 2011 wamekufa. Ore wake nimskie fedha za umma zimelipa fidia. Akatafute nchi yake ya kuishi chini ya utawara wangu.
 
Yaonekana huyu mkulima amezoea njia za mkato. Na hapa yawezekana watu wake wa airport anaowatumia siku zote walichanganyana.

Ili dili kama hizi zibumbuluke, lazima walishawahi kuzulumiana michongo ya nyuma. Haiwezekani hivi hivi
Kwangu mimi milioni mia mbili ni nyingi sana, inakuwaje hapa? Kama ana docs zote muhimu awahi Kisutu basi.
 
Utaratibu usiyofuata sheria na maadili ya kazi siyo utaratibu.Nowdays dunia ni kijiji mfanyabiashara anaweza nunua bidhaa mahali popote kulingana na uhitaji wake wa kisheria na kibiashara.Tunapozungumzia uzalendo wa kulinda mifugo yetu na vyakula vyeti isiwe sababu ya kuwanyima watu fursa ya kupata vibali kwa muda mwafaka.
Je kulikuwa na ulazima wa kuingiza vifaranga toka nje? Miongozo ya serikali inasema nini juu ya uingizaji wa vifaranga toka nje?
 
Haya mambo yasikie kwa jirani tu, yakikukuta utaona kama dunia imekuelemea mkuu. Unapoomba kibali cha shughuli yako ni kama umewaambia una hela za kugawa. Swali, tutalia hivi mpaka lini????????
Good question maana tunalalama sana humu hasa hii middle class, South korea, Singapore miaka ya 70s uchumi wetu ulikua almost upo Sawa na sisi ila sasa ni dunia tofauti kabisa,Zambia 🇿🇲 they're driving their economy kwa speed sisi bado tunakalia majungu, diesel na petrol inashuka chini kwa kiwango kikubwa mno hapo Zambia kwetu ??,u need 132ths to buy 1 ZWK!,haya ni maajabu na tuelewe bei ya mafuta haya pia yanaamuliwa na jinsi local currency inavyopambana na usd
 
Hivi haya mambo yanatokea kwa sababu maalum au kwa bahati mbaya.?

Hebu tutafakari; Miaka kadhaa nyuma serikali ya Magu ilikamata vifaranga. Wale maafisa wakavitekeza.

Mama alipoingia madarakani ikawa ni wimbo kwake kuwa Magu alitengeneza mazingira mabovu ya mahusiano na Kenya kwa sababu ya vifaranga. Lakini akiwa katikati ya wimbo huo nae serikali yake inacheza wimbo huo huo anaomuimbiaga hayati Magufuli mbele ya jamii hususani ya wakenya.

Maelfu ya vifaranga vimekuja na vimefia uwanja wa ndege. Huku serikali yake ikishuhudia.

Haya bila shaka ni malipo dhidi ya maneno yake kwa mzee Magu. Hivi vifaranga vimeletwa na kampuni tena kutoka ulaya, vile vililetwa na raia tu kutoka Kenya.
Je hii pia itapelekea mahusiano mabaya ya kibiashara na nchi vilivyotoka hivi vifaranga?

Huyu mama inabidi ajisahihishe maana kila anavyomkanyaga hayati vinamrudia yeye maradufu.
 
Kuna shida pande zote mbili

1.Mwagiza Vifaranga
2.Watoa vibali

Haiwezekani tu vifaranga vizuiwe kama taratibu zote zilifanyika,kuna shida tu mahali si Rahisi hili jambo.

Hasara hiyo ni kubwa nina uhakika kama vibali vingekua vimenyooka ni simu tu zingepgwa hata kama mtu hayupo go agead ingetolewa Vifaranga vingepita.

ila katika hili lazima kuna shida pande zote mbili .
 
Wasingeweza Ingiza kama hakuna miongozo, hapa huyu local investor amepigwa na mafisadi wanaotuagizia ile sumu ya nyama ya kuku kutoka Brazil
Je kulikuwa na ulazima wa kuingiza vifaranga toka nje? Miongozo ya serikali inasema nini juu ya uingizaji wa vifaranga toka nje?
Ge
 
Good question maana tunalalama sana humu hasa hii middle class, South korea, Singapore miaka ya 70s uchumi wetu ulikua almost upo Sawa na sisi ila sasa ni dunia tofauti kabisa,Zambia 🇿🇲 they're driving their economy kwa speed sisi bado tunakalia majungu, diesel na petrol inashuka chini kwa kiwango kikubwa mno hapo Zambia kwetu ??,u need 132ths to buy 1 ZWK!,haya ni maajabu na tuelewe bei ya mafuta haya pia yanaamuliwa na jinsi local currency inavyopambana na usd
Kama kuna zuio la kuingiza vifaranga toka nje, ijulikane wazi. Na kama mkulima mwenzangu alikatisha, serikali itoe maelezo ili kuondoa hii kashfa kubwa juu ya nchi yetu. Watu watatukimbia na kutuweka ktk nchi isiyotabilika kibiashara.
 
Kuna shida pande zote mbili

1.Mwagiza Vifaranga
2.Watoa vibali

Haiwezekani tu vifaranga vizuiwe kama taratibu zote zilifanyika,kuna shida tu mahali si Rahisi hili jambo.

Hasara hiyo ni kubwa nina uhakika kama vibali vingekua vimenyooka ni simu tu zingepgwa hata kama mtu hayupo go agead ingetolewa Vifaranga vingepita.

ila katika hili lazima kuna shida pande zote mbili .
.....Kuna vichwa vya Treni pale bandarini ambavyo eti havikua na mwenyewe, Leo mazuzu wamesahau na issue ya vifaranga ndio news!
 
Kuna shida pande zote mbili

1.Mwagiza Vifaranga
2.Watoa vibali

Haiwezekani tu vifaranga vizuiwe kama taratibu zote zilifanyika,kuna shida tu mahali si Rahisi hili jambo.

Hasara hiyo ni kubwa nina uhakika kama vibali vingekua vimenyooka ni simu tu zingepgwa hata kama mtu hayupo go agead ingetolewa Vifaranga vingepita.

ila katika hili lazima kuna shida pande zote mbili .
Kama kibali hakupata basi imekula kwa Mkulima na itakuwa case study kwa siku za usoni. Namhurumia.
 
Je kulikuwa na ulazima wa kuingiza vifaranga toka nje? Miongozo ya serikali inasema nini juu ya uingizaji wa vifaranga toka nje?
Na hayo ndiyo maswali wanayoyapenda,je kuna sheria yoyote halali inayokataza kununua mifugo au breed zingine nje ya nchi?
 
Kama kibali hakupata basi imekula kwa Mkulima na itakuwa case study kwa siku za usoni. Namhurumia.
Kibali hakijatoka halafu kule wanamuharakisha Anunue haraka bei itapanda.

Huku ndege wanasema inawahi kuondoka na ikiondoka hamna ndege ingine ya mizigo.

Mkulima kafikiria kaona Fine apakie vifaranga Process zitafanyika mpka vinafika vibali vitakua tayari.

Akasahau hii ndio TANZA LAND kibali kimoja kinatoka baada ya miezi na hapo ufatilie haswaa

Kuja kushtuka anapgiwa simu vifaranga vimefika,na hivi vimefika mwezi watu wapo likizo, Yakutokea yakatokea ndio hayo hapo.

Haina kulaumu hiyo hii ndo Tanzania,kuna wakati Hata uwe na HELA kiasi gani haifanyi kazi,kila mtu anahisi unpa hela umtege, so wanazikataaaa.
 
Back
Top Bottom