lutajangurwa
Senior Member
- Sep 21, 2019
- 126
- 172
Yaonekana huyu mkulima amezoea njia za mkato. Na hapa yawezekana watu wake wa airport anaowatumia siku zote walichanganyana.Kama aliomba kibali Wizarani na hakupata majibu, kwa nini aliingiza mzigo? Mzigo ungekuwa na hitilafu bado tungewalaumu Wizara kwa kutodhibiti uingizaji bidhaa holela. Namsikitikia mkulima huyu. Ila kama alifuata taratibu akadai haki/fidia mbele ya sheria.
Ili dili kama hizi zibumbuluke, lazima walishawahi kuzulumiana michongo ya nyuma. Haiwezekani hivi hivi