evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Hii ishu very contradicting juzi Kati si kulikuwa na taarifa ya Shamba flani huko moshi limeteketeza vifaranga baada ya kukosa soko DSM wakaamua kuvirudisha shambani moshi na kuvidedishaWakati fulani, rafiki yangu alikwama kuingiza vifaranga vya samaki kwa muda, sijui kama aliweza. Deep down, tusipolinda vya kwetu vilivyopo tutajalia. Ila kama ni breed mpya sawa ije, lakini kama breed hiyo ipo ndani ya nchi kwa nini tuingize toka nje? Tutasema vilivyopo havitoshi, ni sawa, sasa nani mwenye wajibu wa kutafuta njia ili vitoshe kama siyo sisi wenyewe? maswali ni mengi mno, bahati mbaya wa kujibu hayupo.
Hangaya anaumbuka vibaya sana"Kuchoma moto vifaranga kutoka Kenya ulikuwa uamuzi mbaya". Sijui aliitoa nani hii kauli!!!
Ndiye yuko Ubelgiji 😅😅Unaweza kukuta ni vya makamu Mwenyekiti
Kwa kufahamu delicacy ya cargo, kwa nini Wizara isimjibu?Kesi za namna hii huwa ngumu kwa kuzisikiliza upande mmoja tu. Je baada ya kuomba kibali Wizarani alipata majibu gani? Kama hakupata jibu lolote, hana wa kumlaumu.
Kwani hayapo mkuu, Canadian water hujawahi kuyaona? Huu ni uchumi huria Cha msingi umeet standards.PhD zimeanza kufanya kazi sasa. Huko tuendako hata maji ya kunywa tutaagiza kutoka ulaya. Nonsense
Mtu hujui hata vifaranga vipo vizara ipi then na wewe unajitia kujifanya much know.Hii Wizara ya Kilimo ni shida sana na ni hatari kwenye mitaji ya watu.
Wewe unaejua tuambie vipo wapi?Mtu hujui hata vifaranga vipo vizara ipi then na wewe unajitia kujifanya much know.
Vipo wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa.Wewe unaejua tuambie vipo wapi?
Itabidi tu wote tuwe wachawi tupate kuheshimiana 😂Kuna katabia fulani kapo nchi yetu.
miaka ya nyuma pale daraja la sarender ,walimkamta mpemba kisa kibali alikuwa na samaki wabichi.aliwa bembeleza sana askari walikataa ili apeleke samaki sababu kibali kaacha znz.haka waachia wale samaki kituoni .kilichotokea kila wakioza nawao wanaoza .
sijui ilikuwa ukweli au uongo
Hivi wewe unaona huyo ni professor? Kama vifaranga vina maambuzi na magonjwa iweje aende bila tahadhari? Hana safety yeyote ya kumkinga asipate maambuzi ya ugonjwa kutoka kwenye vifaranga, kwahiyo anarudi nyumbani kueneza ugonjwa? , Professor kabisa kaenda vile kukagua vifaranga na atuambie Kuna maambuki? Hawa professor wa Tanzania ni vichekesho, kwani wana soma wapi?Sheria inasema hivyo?
Taratibu za kuingiza vifaranga zipo, au hazipo, zilifuatwa?
Huyo Mkurugenzi ni mtaalam, huoni ni Profesa kabisa katika eneo hilo la mifugo?
Watu kama nyinyi ndio mnaopindisha kila kitu kwa matakwa yenu, bila ya kufuata taratibu tulizojiwekea zitumike.
Ilaumu hiyo kampuni, na baadhi ya matapeli walio wizarani, waliowadanganya na kukiuka taratibu za uingizaji wa hao vifaranga.
Nimewahi kusema prof wa bongo ni sawa na tutorial assistant huko Dunia ya kwanza. Wengi ni wajuaji but content hawana. Ndiyo maana Magufuli alikuwa anawachukulia poa sana na aliwaona hamnazo akawa anawaswaga Kama ng'ombe.Hivi wewe unaona huyo ni professor? Kama vifaranga vina maambuzi na magonjwa iweje aende bila tahadhari? Hana safety yeyote ya kumkinga asipate maambuzi ya ugonjwa kutoka kwenye vifaranga, kwahiyo anarudi nyumbani kueneza ugonjwa? , Professor kabisa kaenda vile kukagua vifaranga na atuambie Kuna maambuki? Hawa professor wa Tanzania ni vichekesho, kwani wana soma wapi?
Dada hawa ni wahuni vifaranga unatakiwa umalizane n'a Vibali vyote ndo uagize .hawa vimeshafika siku hiyo hiyo wanaanza kuomba kibali.Ndicho walichotaka.
Unawezaje kuxuia vifaranga what's next ni lazima vife.
Vifaranga havikuwa na mtetezi.
Nchi inaelekea kuwa shamba ka BIBI .
Na yeye huyo mwekezaji kwa nini aingize vifaranga kabla ya kupata kibali? Hii ndiyo shida ya nchi yetu watu tunachukulia pia kila kitu! Baada ya mzigo kufika ndiyo anaanza kukimbizana na barua! Hovyo kabisa!Unachekesha. Kwa hiyo kwa kutokujibiwa ndio anakosa mtu wa kumlaumu? Au kinyume chake?
Na yeye kama hajapata majibu ya barua yake kwa nini aingize vifaranga? Serikali isilaumiwe katika hili!Unachekesha. Kwa hiyo kwa kutokujibiwa ndio anakosa mtu wa kumlaumu? Au kinyume chake?