evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Hii ishu very contradicting juzi Kati si kulikuwa na taarifa ya Shamba flani huko moshi limeteketeza vifaranga baada ya kukosa soko DSM wakaamua kuvirudisha shambani moshi na kuvidedishaWakati fulani, rafiki yangu alikwama kuingiza vifaranga vya samaki kwa muda, sijui kama aliweza. Deep down, tusipolinda vya kwetu vilivyopo tutajalia. Ila kama ni breed mpya sawa ije, lakini kama breed hiyo ipo ndani ya nchi kwa nini tuingize toka nje? Tutasema vilivyopo havitoshi, ni sawa, sasa nani mwenye wajibu wa kutafuta njia ili vitoshe kama siyo sisi wenyewe? maswali ni mengi mno, bahati mbaya wa kujibu hayupo.