Profesa Nonga: Vifaranga 62,730 kutoka Ubelgiji vilivyokamatwa JNIA vyote vimefia Airport

Profesa Nonga: Vifaranga 62,730 kutoka Ubelgiji vilivyokamatwa JNIA vyote vimefia Airport

Wakati fulani, rafiki yangu alikwama kuingiza vifaranga vya samaki kwa muda, sijui kama aliweza. Deep down, tusipolinda vya kwetu vilivyopo tutajalia. Ila kama ni breed mpya sawa ije, lakini kama breed hiyo ipo ndani ya nchi kwa nini tuingize toka nje? Tutasema vilivyopo havitoshi, ni sawa, sasa nani mwenye wajibu wa kutafuta njia ili vitoshe kama siyo sisi wenyewe? maswali ni mengi mno, bahati mbaya wa kujibu hayupo.
Hii ishu very contradicting juzi Kati si kulikuwa na taarifa ya Shamba flani huko moshi limeteketeza vifaranga baada ya kukosa soko DSM wakaamua kuvirudisha shambani moshi na kuvidedisha
 
PhD zimeanza kufanya kazi sasa. Huko tuendako hata maji ya kunywa tutaagiza kutoka ulaya. Nonsense
 
Kesi za namna hii huwa ngumu kwa kuzisikiliza upande mmoja tu. Je baada ya kuomba kibali Wizarani alipata majibu gani? Kama hakupata jibu lolote, hana wa kumlaumu.
Kwa kufahamu delicacy ya cargo, kwa nini Wizara isimjibu?

Tuwe na logic tunapotoa hoja za kibananga bananga
 
PhD zimeanza kufanya kazi sasa. Huko tuendako hata maji ya kunywa tutaagiza kutoka ulaya. Nonsense
Kwani hayapo mkuu, Canadian water hujawahi kuyaona? Huu ni uchumi huria Cha msingi umeet standards.
 
Kuna katabia fulani kapo nchi yetu.

miaka ya nyuma pale daraja la sarender ,walimkamta mpemba kisa kibali alikuwa na samaki wabichi.aliwa bembeleza sana askari walikataa ili apeleke samaki sababu kibali kaacha znz.haka waachia wale samaki kituoni .kilichotokea kila wakioza nawao wanaoza .
sijui ilikuwa ukweli au uongo
Itabidi tu wote tuwe wachawi tupate kuheshimiana 😂
 
Siku moja nitaleta story yangu ya kusikitisha kuhusu utoaji wa vibali vya kuingiza vifaranga, nilipoteza 40m kwa usiku mmoja.
 
Sheria inasema hivyo?

Taratibu za kuingiza vifaranga zipo, au hazipo, zilifuatwa?
Huyo Mkurugenzi ni mtaalam, huoni ni Profesa kabisa katika eneo hilo la mifugo?

Watu kama nyinyi ndio mnaopindisha kila kitu kwa matakwa yenu, bila ya kufuata taratibu tulizojiwekea zitumike.
Ilaumu hiyo kampuni, na baadhi ya matapeli walio wizarani, waliowadanganya na kukiuka taratibu za uingizaji wa hao vifaranga.
Hivi wewe unaona huyo ni professor? Kama vifaranga vina maambuzi na magonjwa iweje aende bila tahadhari? Hana safety yeyote ya kumkinga asipate maambuzi ya ugonjwa kutoka kwenye vifaranga, kwahiyo anarudi nyumbani kueneza ugonjwa? , Professor kabisa kaenda vile kukagua vifaranga na atuambie Kuna maambuki? Hawa professor wa Tanzania ni vichekesho, kwani wana soma wapi?
 
Hivi wewe unaona huyo ni professor? Kama vifaranga vina maambuzi na magonjwa iweje aende bila tahadhari? Hana safety yeyote ya kumkinga asipate maambuzi ya ugonjwa kutoka kwenye vifaranga, kwahiyo anarudi nyumbani kueneza ugonjwa? , Professor kabisa kaenda vile kukagua vifaranga na atuambie Kuna maambuki? Hawa professor wa Tanzania ni vichekesho, kwani wana soma wapi?
Nimewahi kusema prof wa bongo ni sawa na tutorial assistant huko Dunia ya kwanza. Wengi ni wajuaji but content hawana. Ndiyo maana Magufuli alikuwa anawachukulia poa sana na aliwaona hamnazo akawa anawaswaga Kama ng'ombe.
 
Ndicho walichotaka.

Unawezaje kuxuia vifaranga what's next ni lazima vife.

Vifaranga havikuwa na mtetezi.
Dada hawa ni wahuni vifaranga unatakiwa umalizane n'a Vibali vyote ndo uagize .hawa vimeshafika siku hiyo hiyo wanaanza kuomba kibali.
Waweza chukulia poa ila vifaranga kumi tu vyenye magonjwa ukivipeleka kibaha vinatosha kuua kuku wote wengine kibaha
 
Hii nchi hii, ingewezekana kuiswipe na kuanza upya ingefanyika tu swiping. Serikali ndio agent mkuu wa kuwarudisha nyuma wananchi na wafanyabiashara wanaopambana kupigana na umasikini na KIONGOZI mkuu yupo tu. Naimani taarifa za uozo wa ndani ya taasisi zake anapelekewa ila kuchukua maamuzi sasa ndio shida. Katika kuchukua maamuzi ya haraka jiwe atakumbukwa tu daima.
 
Ingekua ni enzi ya mpendwa wetu Magufuli, angeambiwa yeye ndiye kaamuru hao vifaranga wakamatwe.ila kwa sababu hii ni awamu ya malaika basi hatusikii kelele za akina Mbowe wala Lisu.
 
Unachekesha. Kwa hiyo kwa kutokujibiwa ndio anakosa mtu wa kumlaumu? Au kinyume chake?
Na yeye huyo mwekezaji kwa nini aingize vifaranga kabla ya kupata kibali? Hii ndiyo shida ya nchi yetu watu tunachukulia pia kila kitu! Baada ya mzigo kufika ndiyo anaanza kukimbizana na barua! Hovyo kabisa!
 
Unachekesha. Kwa hiyo kwa kutokujibiwa ndio anakosa mtu wa kumlaumu? Au kinyume chake?
Na yeye kama hajapata majibu ya barua yake kwa nini aingize vifaranga? Serikali isilaumiwe katika hili!
 
Back
Top Bottom