Profesa Nyagori ashauri Taasisi za Afya kumpa tuzo Rais Magufuli kwa mapambano ya Corona

Profesa Nyagori ashauri Taasisi za Afya kumpa tuzo Rais Magufuli kwa mapambano ya Corona

Huyu ni MATAGA aligombea ubunge 2015 kupitia chama cha mboga mboga akashindwa kwenye kura za maoni. Hapa anamsifia Jiwe ili ampitishe mwaka huu maana hakuna kura za maoni inategemea Jiwe ameamkaje siku hiyo.
Aligombea ubunge jimbo gani.? Ni hatari sana kujifanya unajua ilhali hujui chochote. Pole....
 
Back
Top Bottom