Pia wanaunga mkono juhudi za Serikali ya Jiwe kama wewe!Mtaalam wa nuclear physics ya vitabuni tu. Maprofessor wa nuclear physics wapo Iran huko na North Korea. Hawa wa kwetu ni wa kutungia mitihani tu.
POLE KWAKE na familia, by the way ...tuiombee familia yake.Prof. Peter Msaki wa Nuclear physics amefariki dunia jana mchana.
Kwa wale waliopitia Physics department Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam wanamjua jinsi alivyokuwa nguli wa fani hiyo
Tanzania na nyuklia wapi na wapi, upotevu wa pesa na muda.
Zanzibar siyo kisiwa cha wafugaji, kudhibiti mbung'o (sio mbung,o) kwenye kisiwa ni jambo dogo sana hata wewe unaweza. Mbung'o hawezi kuruka umbali mrefu bila kutua kutokana na uzito wake hivyo hawezi akaruka toka bara mpaka kisiwani. Ukiwaogesha ng'ombe kabla ya kuwasafirisha na kuwakagua kwenye chombo wakati wa kuwasafirisha hauwezi kuingiza mbung'o Zanzibar.Sio kweli unavyosema. Nuclear physics bado ni muhimu hapa TANZANIA. UNGEULIZA UAMBIWE. UNAJUA KWA NINI MBUN,GO (TSE TSE FLIES) WOTE ZANZIBAR WALIISHA?, AU UNAJUA JINSI YA UZALISHAJI WA mpunga ULIVYOINGEZEKA NCHINI. ULIZA MKUU SIO NUCKEAR WEWE UNAWAZA BOMU
Na mjadala huu ufungwe sasa....Humu watu wengi hawaelewi nchi na dunia inaendeshwaje.
My dear artist,nchi inaendeshwa kwa Sera sio kwa matakwa ya wanasayansi men!
Sera za Africa huundwa na wanasiasa vilaza wanaojali Mimi napata nini.
Barani Afrika hakuna SERA thabiti za kuwatumia wanasayansi ipasavyo.
Uundaji wa BOMU la nyuklia nimpango wa Sera ya nchi na si mwanasayansi.Mwanasayansi kazi yake ni kutoa ushauri na kusimamia taasisi husika.
Uundaji wa BOMU la nyuklia ni mpango unaofanywa na team inayohusisha nyanja nyingi au sekta nyingi kwa mpigo.
Nuclear technology is not an easy thing as to construct a road from mwanza to shinyanga, viongozi,wanachi wanasayansi kwa pamoja wanatakiwa wajitoe ufahamu kama mnavyoshuhudia Iran, Korea.
Wanasyansi wengi Barani Afrija wanashindwa Ku excel kwa sababu Afrika haijawa tayari kwa mapinduzi ya sayansi na teknolojia.Mwanasayansi kama Elon Musk asingekimbilia America kama South Afrika ingekuwa na Miundombinu ya kumuwezesha Kufanya mapinduzi anayoyafanya Leo America.
Mwanasayansi wengi wanaikimbia Afrika to utilize their full potential in Europe because of bad policies in Africa.
Hivi unajua Betri ya simu unayotumia imegunduliwa na mwafrika wa Morroco but nchini Marekani.Unajua kuwa Fibre father is black man from Afrika,but he achieved it bell laboratory in America !
Mnataka achievements za kiteknolojia huku hamtaki kuwekeza miundombinu ya teknolojia,mnawekeza kwenye anasa.
pumbavu kweli! Acheni ujinga ujinga be intellectually matured!!!
Mkuu,Hizo nyuklia physics ziko wapi?
Duh mkuu ile radiation huwa zina tengenezwa apa!? Kumbe at upo nyumaUpuuzi huu bado upo tu? Hujui dunia iliko aisee pole sana, wadhani ukienda hosp ukaambiwa wapigwa x-ray unadhani ni nn kile? Ule mfano tu
Mkuu kumbe MRI zinazo tupiga picha mahospitalini Tunatumia mionzi inayo tengenezwa apaHii inaonyesha kiwango chetu cha elimu na uelewa kwa ujumla.
Kipimo cha MRI ni moja ya application ya nuclear physics. Mfano nmoja katika maelfu.
Tutabaki na ujima wetu hadi kiama
Kwahiyo huyo mwalimu wako wa nuclear physics ndio alitengeneza haya madude yote!?Mkuu,
Wewe ni mmojawapo ya vijana waliokwepa kusomea fizikia? Pole sana ni kwa sababu ulikuwa ni mvivu wa kutumia ubongo kiuhalisia; ndio maana wengine walikuwa wanasema ninasoma hesabu za integration na differential functions zitanisaidia nini kwenye maisha ya kawaida. Hivyo vyote viko applicable kwenye maisha ya kawaida, ya starehe na magumu kuufanya ubongo ufikiri namna ya kupambana na mazingira yanayokuzunguka kwa kutafuta suluhisho ya changamoto zinazojitokeza.
Moja wa matumizi ya Nuclear Physics ni haya hapa chini (Msikimbilie siasa baada ya kukosa kazi za kuajiriwa mtapata sonono kisha mkajidhuru bure:
1. "Some of the most pervasive applications of nuclear physics are in medicine. Medical imaging techniques now widely used, such as positron emission tomography (PET) and nuclear magnetic resonance imaging (MRI), provide information in three dimensions about the structure and biochemical activity of the human interior...."
2. "..Discoveries in nuclear physics have led to applications in many fields. This includes nuclear power, nuclear weapons, nuclear medicine and magnetic resonance imaging, industrial and agricultural isotopes, ion implantation in materials engineering, and radiocarbon dating in geology and archaeology..."
3. "..Nuclear physics is ubiquitous in our lives: Detecting smoke in our homes, testing for and treating cancer, and monitoring cargo for contraband are just some of the ways that nuclear physics and the techniques it has spawned make a difference in our safety, health, and security..."
Nuclear Advantages
*VIJANA achaneni na kufuata mikumbo ya kushabikia siasa mnakosa taaluma nzuri zitakazoboresha maisha yenu
- Switching from Fossil Fuels to Nuclear Power can Slow Global Warming.
- Nuclear Power is much better for Air Quality than Fossil Fuel Sources
- Technology continues to improve safety and decrease risk of accidents: Safety standards and technology continue to reduce the risk of accidents at nuclear power plants.;
- Part of Community: Nuclear power plants require water reservoirs, and these lakes can double as recreational areas for the public. Reservoirs often provide opportunities for boating and fishing, and local governments have established parks along the shores of these lakes.
Providing recreation opportunities near the power plants can help ease public concerns about safety. Trust in technology sometimes requires an up close and personal experience.
Cooling towers rising above the trees at a park may seem ominous at first. Several trips later, they may become a landmark of pride in the community, a source of awe in technology, or a little bit of both.- We won't run out of nuclear fuel any time soon: The supply of nuclear fuel is a moving target. The readily available fuel would last about 230 years at current consumption rates;
kua na nuclear physist tz ni upotevu wa raslimali bila sababu ya msingi.... R.I.P prof.
Tanzania na nyuklia wapi na wapi, upotevu wa pesa na muda.
Kwa hiyo wew ndiye uliyefundisha madaktari (radiologist ) jinsi ya kutumia radiological equipment? Unafikiri matumizi ya vifaa tiba hivyo hufundishwa na politician au mkulima kama wewe?Kwahiyo huyo mwalimu wako wa nuclear physics ndio alitengeneza haya madude yote!?
Au umekopi gugo ili kumpa maujiko?
Yaani hawa watu ni useless kabisa.Mkuu kumbe MRI zinazo tupiga picha mahospitalini Tunatumia mionzi inayo tengenezwa apa
unani aibisha sana mkuu, what's nuclear physics kwanza. Ndipo tuendelee na madaR.I.P. Tanzania hatujawahi hata tengeneza hata mabomu. Hatuna hata nuclear reactor moja. Too sad kumbe wataalam wa nuclear tunao. Sema hawaiaply.
JesseGabagambi,Msaki,Mbwete,Mbunda.......
Mwaka huu tu hiyo
Usihangaike na hawa mazuzu....majority ni vilaza tu.Kwa hiyo wew ndiye uliyefundisha madaktari (radiologist ) jinsi ya kutumia radiological equipment? Unafikiri matumizi ya vifaa tiba hivyo hufundishwa na politician au mkulima kama wewe?
Kwani hujui kuwa Dr Bilal naye alikuwa mtaalam wa Nuclear Physics? Elewa kuwa Nuclear Physics siyo Nuclear Engineerin!Tanzania na nyuklia wapi na wapi, upotevu wa pesa na muda.