TANZIA Profesa Peter Msaki afariki Dunia

TANZIA Profesa Peter Msaki afariki Dunia

Mtaalam wa nuclear physics ya vitabuni tu. Maprofessor wa nuclear physics wapo Iran huko na North Korea. Hawa wa kwetu ni wa kutungia mitihani tu.
Pia wanaunga mkono juhudi za Serikali ya Jiwe kama wewe!
 
Prof. Peter Msaki wa Nuclear physics amefariki dunia jana mchana.

Kwa wale waliopitia Physics department Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam wanamjua jinsi alivyokuwa nguli wa fani hiyo
POLE KWAKE na familia, by the way ...tuiombee familia yake.
 
Kuna msomi mmoja nimesahau jina lake, Mtanzania. Jamaa alikuwa na akili sana. Alienda kusoma Canada katika kitengo cha Engineer lakini sikumbuki ni kitengo gani maana nilihadithiwa na Mzee mmoja na muda umepita. Kule jamaa alikuwa anapasua A+ kwenye kila somo na wala alikuwa hapotezi muda mwingi wa kujisomea lakini aliweza kuvunja rekodi nyingi sana za ufaulu. Habari za genius huyu wa Kitanzania zikafika hadi Marekani. Marekani wakaona huyo mtu atakuwa na manufaa makubwa sana kwa Marekani kuliko Tanzania. Hivyo huyo Mzee akadai jamaa wakatuma Wamarekani kuja Tanzania ili kumuomba Mwalimu wamchukue huyo Mtanzania naye akaridhia. Huyo genius akaajiriwa na NASA lakini kwa kuhofia usalama wake wa kuuawa au kutekwa na Nchi wapinzani akapewa ulinzi 24/7 hadi mwenyewe akawa anaona karaha kwa kukosa privacy. Kwa hiyo nakubaliana nawe kwamba kuna fani nyingine ni bora tu utafute kazi sehemu ambayo unaweza kuitumia fani yako kuliko kuja kuipoteza Tanzania kwani nyuklia Tanzania bado ipo chini mno na itakuwa hivyo kwa miaka mingi ijayo.
Tanzania na nyuklia wapi na wapi, upotevu wa pesa na muda.
 
Sio kweli unavyosema. Nuclear physics bado ni muhimu hapa TANZANIA. UNGEULIZA UAMBIWE. UNAJUA KWA NINI MBUN,GO (TSE TSE FLIES) WOTE ZANZIBAR WALIISHA?, AU UNAJUA JINSI YA UZALISHAJI WA mpunga ULIVYOINGEZEKA NCHINI. ULIZA MKUU SIO NUCKEAR WEWE UNAWAZA BOMU
Zanzibar siyo kisiwa cha wafugaji, kudhibiti mbung'o (sio mbung,o) kwenye kisiwa ni jambo dogo sana hata wewe unaweza. Mbung'o hawezi kuruka umbali mrefu bila kutua kutokana na uzito wake hivyo hawezi akaruka toka bara mpaka kisiwani. Ukiwaogesha ng'ombe kabla ya kuwasafirisha na kuwakagua kwenye chombo wakati wa kuwasafirisha hauwezi kuingiza mbung'o Zanzibar.
Tsetse Fly Catcher, Tsetse Fly Officer, Tsetse Fly Controller, kutokuwapo watu hawa kumesababisha ndorobo kuenea bara ikiwemo Dar es Salaam.
 
Pumzika mahali pema Prof. Msaki. Nakumbuka sana mapindi uliyonipigisha hasa double na triple integral.
 
Humu watu wengi hawaelewi nchi na dunia inaendeshwaje.
My dear artist,nchi inaendeshwa kwa Sera sio kwa matakwa ya wanasayansi men!
Sera za Africa huundwa na wanasiasa vilaza wanaojali Mimi napata nini.
Barani Afrika hakuna SERA thabiti za kuwatumia wanasayansi ipasavyo.
Uundaji wa BOMU la nyuklia nimpango wa Sera ya nchi na si mwanasayansi.Mwanasayansi kazi yake ni kutoa ushauri na kusimamia taasisi husika.
Uundaji wa BOMU la nyuklia ni mpango unaofanywa na team inayohusisha nyanja nyingi au sekta nyingi kwa mpigo.
Nuclear technology is not an easy thing as to construct a road from mwanza to shinyanga, viongozi,wanachi wanasayansi kwa pamoja wanatakiwa wajitoe ufahamu kama mnavyoshuhudia Iran, Korea.
Wanasyansi wengi Barani Afrija wanashindwa Ku excel kwa sababu Afrika haijawa tayari kwa mapinduzi ya sayansi na teknolojia.Mwanasayansi kama Elon Musk asingekimbilia America kama South Afrika ingekuwa na Miundombinu ya kumuwezesha Kufanya mapinduzi anayoyafanya Leo America.
Mwanasayansi wengi wanaikimbia Afrika to utilize their full potential in Europe because of bad policies in Africa.
Hivi unajua Betri ya simu unayotumia imegunduliwa na mwafrika wa Morroco but nchini Marekani.Unajua kuwa Fibre father is black man from Afrika,but he achieved it bell laboratory in America !
Mnataka achievements za kiteknolojia huku hamtaki kuwekeza miundombinu ya teknolojia,mnawekeza kwenye anasa.
pumbavu kweli! Acheni ujinga ujinga be intellectually matured!!!
Na mjadala huu ufungwe sasa....

Eti alifanya nini tangible. Jifanye kufanya kitu tangible kwenye nchi za watu hizi halafu uingilie maslahi hata ya diwani tu uone kama utafika po pote.

Alikuja yule daktari bingwa wa magonjwa ya moyo katoka zake huko Texas na mavifaa ya kisasa ya upasuaji na vipimo. Kachukua na mikopo benki akajenga na majengo afungue cardiology center ya kisasa awe anafanya upasuaji wa moyo hapa hapa kwa bei nafuu watu wasiwe wanahangaika sana. Ambacho hakujua ni kuwa wanasiasa kwenda kutibiwa mioyo yao India ilikuwa ni miradi ya watu na watu walikuwa wanapiga hela za kutosha. Walim-frustrate yule mzee mpaka akachanganyikiwa, majengo na vifaa vikapigwa mnada na yeye akafa.

Afrika bado sana. Brain drain watu wanakwenda kufanyia mambo tangible kwenye nchi za watu huko ambako mazingira yanaruhusu na utaalamu wao unathaminiwa.
 
Hizo nyuklia physics ziko wapi?
Mkuu,

Wewe ni mmojawapo ya vijana waliokwepa kusomea fizikia? Pole sana ni kwa sababu ulikuwa ni mvivu wa kutumia ubongo kiuhalisia; ndio maana wengine walikuwa wanasema ninasoma hesabu za integration na differential functions zitanisaidia nini kwenye maisha ya kawaida. Hivyo vyote viko applicable kwenye maisha ya kawaida, ya starehe na magumu kuufanya ubongo ufikiri namna ya kupambana na mazingira yanayokuzunguka kwa kutafuta suluhisho ya changamoto zinazojitokeza.

Moja wa matumizi ya Nuclear Physics ni haya hapa chini (Msikimbilie siasa baada ya kukosa kazi za kuajiriwa mtapata sonono kisha mkajidhuru bure:

1. "Some of the most pervasive applications of nuclear physics are in medicine. Medical imaging techniques now widely used, such as positron emission tomography (PET) and nuclear magnetic resonance imaging (MRI), provide information in three dimensions about the structure and biochemical activity of the human interior...."

2. "..Discoveries in nuclear physics have led to applications in many fields. This includes nuclear power, nuclear weapons, nuclear medicine and magnetic resonance imaging, industrial and agricultural isotopes, ion implantation in materials engineering, and radiocarbon dating in geology and archaeology..."
3. "..Nuclear physics is ubiquitous in our lives: Detecting smoke in our homes, testing for and treating cancer, and monitoring cargo for contraband are just some of the ways that nuclear physics and the techniques it has spawned make a difference in our safety, health, and security..."

Nuclear Advantages
  • Switching from Fossil Fuels to Nuclear Power can Slow Global Warming.
  • Nuclear Power is much better for Air Quality than Fossil Fuel Sources
  • Technology continues to improve safety and decrease risk of accidents: Safety standards and technology continue to reduce the risk of accidents at nuclear power plants.;
  • Part of Community: Nuclear power plants require water reservoirs, and these lakes can double as recreational areas for the public. Reservoirs often provide opportunities for boating and fishing, and local governments have established parks along the shores of these lakes.
    Providing recreation opportunities near the power plants can help ease public concerns about safety. Trust in technology sometimes requires an up close and personal experience.
    Cooling towers rising above the trees at a park may seem ominous at first. Several trips later, they may become a landmark of pride in the community, a source of awe in technology, or a little bit of both.
  • We won't run out of nuclear fuel any time soon: The supply of nuclear fuel is a moving target. The readily available fuel would last about 230 years at current consumption rates;
*VIJANA achaneni na kufuata mikumbo ya kushabikia siasa mnakosa taaluma nzuri zitakazoboresha maisha yenu
 
Upuuzi huu bado upo tu? Hujui dunia iliko aisee pole sana, wadhani ukienda hosp ukaambiwa wapigwa x-ray unadhani ni nn kile? Ule mfano tu
Duh mkuu ile radiation huwa zina tengenezwa apa!? Kumbe at upo nyuma
 
Hii inaonyesha kiwango chetu cha elimu na uelewa kwa ujumla.

Kipimo cha MRI ni moja ya application ya nuclear physics. Mfano nmoja katika maelfu.

Tutabaki na ujima wetu hadi kiama
Mkuu kumbe MRI zinazo tupiga picha mahospitalini Tunatumia mionzi inayo tengenezwa apa
 
Mkuu,

Wewe ni mmojawapo ya vijana waliokwepa kusomea fizikia? Pole sana ni kwa sababu ulikuwa ni mvivu wa kutumia ubongo kiuhalisia; ndio maana wengine walikuwa wanasema ninasoma hesabu za integration na differential functions zitanisaidia nini kwenye maisha ya kawaida. Hivyo vyote viko applicable kwenye maisha ya kawaida, ya starehe na magumu kuufanya ubongo ufikiri namna ya kupambana na mazingira yanayokuzunguka kwa kutafuta suluhisho ya changamoto zinazojitokeza.

Moja wa matumizi ya Nuclear Physics ni haya hapa chini (Msikimbilie siasa baada ya kukosa kazi za kuajiriwa mtapata sonono kisha mkajidhuru bure:

1. "Some of the most pervasive applications of nuclear physics are in medicine. Medical imaging techniques now widely used, such as positron emission tomography (PET) and nuclear magnetic resonance imaging (MRI), provide information in three dimensions about the structure and biochemical activity of the human interior...."

2. "..Discoveries in nuclear physics have led to applications in many fields. This includes nuclear power, nuclear weapons, nuclear medicine and magnetic resonance imaging, industrial and agricultural isotopes, ion implantation in materials engineering, and radiocarbon dating in geology and archaeology..."
3. "..Nuclear physics is ubiquitous in our lives: Detecting smoke in our homes, testing for and treating cancer, and monitoring cargo for contraband are just some of the ways that nuclear physics and the techniques it has spawned make a difference in our safety, health, and security..."

Nuclear Advantages
  • Switching from Fossil Fuels to Nuclear Power can Slow Global Warming.
  • Nuclear Power is much better for Air Quality than Fossil Fuel Sources
  • Technology continues to improve safety and decrease risk of accidents: Safety standards and technology continue to reduce the risk of accidents at nuclear power plants.;
  • Part of Community: Nuclear power plants require water reservoirs, and these lakes can double as recreational areas for the public. Reservoirs often provide opportunities for boating and fishing, and local governments have established parks along the shores of these lakes.
    Providing recreation opportunities near the power plants can help ease public concerns about safety. Trust in technology sometimes requires an up close and personal experience.
    Cooling towers rising above the trees at a park may seem ominous at first. Several trips later, they may become a landmark of pride in the community, a source of awe in technology, or a little bit of both.
  • We won't run out of nuclear fuel any time soon: The supply of nuclear fuel is a moving target. The readily available fuel would last about 230 years at current consumption rates;
*VIJANA achaneni na kufuata mikumbo ya kushabikia siasa mnakosa taaluma nzuri zitakazoboresha maisha yenu
Kwahiyo huyo mwalimu wako wa nuclear physics ndio alitengeneza haya madude yote!?

Au umekopi gugo ili kumpa maujiko?
 
Sio watu wote wame/wanasoma kwa malengo ya kuajiriwa nchini...

Kwa taarifa yako wale wasomi nguli wa Kitanzania wengi taaluma zao zime/zinazinufaisha nchi nyingine huko...
kua na nuclear physist tz ni upotevu wa raslimali bila sababu ya msingi.... R.I.P prof.
Tanzania na nyuklia wapi na wapi, upotevu wa pesa na muda.
 
Kwahiyo huyo mwalimu wako wa nuclear physics ndio alitengeneza haya madude yote!?

Au umekopi gugo ili kumpa maujiko?
Kwa hiyo wew ndiye uliyefundisha madaktari (radiologist ) jinsi ya kutumia radiological equipment? Unafikiri matumizi ya vifaa tiba hivyo hufundishwa na politician au mkulima kama wewe?
 
Mkuu kumbe MRI zinazo tupiga picha mahospitalini Tunatumia mionzi inayo tengenezwa apa
Yaani hawa watu ni useless kabisa.

Wanakwambia nuclear physics inatengeneza themometer! (sijui hata kama ni kweli?)

Ukiwauliza hiyo themometer inatengenezwa wapi wanakimbia!

Nuclear physics sio blah blah za theories.

We need people who have the ability to do scientific practical researches and come up with valid tangible proposals..... Invent technology and help the people.

Blah blah...... mara ohh nina GPA kubwa ya nuclear physics! So what!

Wakati wa corona hawa wanasayansi uchwara wote walikimbia wakajificha uvunguni wakamwachia zigo lote magufuli.

Angalau magufuli alikuwa anatupa tips za kupasua virus kwa nyungu!

Sasa hawa wazee wa nuclear physics inakuwaje?
 
R.I.P. Tanzania hatujawahi hata tengeneza hata mabomu. Hatuna hata nuclear reactor moja. Too sad kumbe wataalam wa nuclear tunao. Sema hawaiaply.
unani aibisha sana mkuu, what's nuclear physics kwanza. Ndipo tuendelee na mada
 
Kuna vilaza wanajua nuclear physics ni kuhusu mabomu tu

R.I.P prof
 
Professor Msaki alikuwa pia medical Physicist, Madaktari wengi watakaokutibu ukiumwa magonjwa kama cancer wamepita mikononi mwake, acheni upopoma.
 
Kwa hiyo wew ndiye uliyefundisha madaktari (radiologist ) jinsi ya kutumia radiological equipment? Unafikiri matumizi ya vifaa tiba hivyo hufundishwa na politician au mkulima kama wewe?
Usihangaike na hawa mazuzu....majority ni vilaza tu.
 
Back
Top Bottom