Nitafanya hivyo mkuu, wanakera hadi nashindwa kujizuia, kama kweli hawajui wangeuliza siyo kuleta kejeli kwa mtu aliyepata kuwa na mchango mkubwa kwenye tasnia ya elimu. Angekuwa mwanajeshi cheo chake ni general, na angekuwa mwanasiasa hadhi yake ni rais wa nchi, wakubali wakatae ila mchango wa wanasayansi unadharaulika sana. Ata siku tukiumwa ata tunamshukuru daktari aliyetutibu na kumsahau mwalimu aliyemfundisha kutibu.Usihangaike na hawa mazuzu....majority ni vilaza tu.