TANZIA Profesa Philemon Sarungi afariki Dunia

Poleni sana
 
Ataghafulilah,nguruena nwezi mtukufu huu walah
 
Hivi
View attachment 3260406
Mwanasiasa mkongwe na waziri wa zamani Profesa Sarungi amefariki dunia

Habari hii imethibitishwa pia na mwanaye Maria sarungi pamoja na msemaji wa familia, Martin Leonard Obwago Sarungi.

View attachment 3260404
Hivi huyu maria kama kumbukumbu zangu zipo vyema aliwahi kusema humu babaake alimtelekeza na Hana mahusiano nae mazuri, vipi Leo awe msemaji wa familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…