secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Poleni sanaApumzike kwa amani.
Nakumbuka aliwahi kuja shuleni kwetu kijijini sana mwaka wa 2000
Akiwa waziri.
Alikua kiongozi wa kwanza wa kitaifa kufika kwenye kata na tarafa yetu na kwa kipekee shuoe yetu
Alituchangia fedha na ujenzi wa madarasa, tukaanzisha mradi wa nguruwe.