TANZIA Profesa Philemon Sarungi afariki Dunia

TANZIA Profesa Philemon Sarungi afariki Dunia

poleni sana wanafamilia. Mungu wa rehema, tunaomba aipumzishe mahali pema ya Prof. Sarungi. Mchango wake kwa namna mbalimbalu, na hasa alipokuwa pale Muhimbili, hauwezi kusahaulika.

pole sana Maria, na wanafamilia wote.
 
Mzee Professor Philemon Sarungi Amefariki jioni ya Leo.
Professor Sarungi ambae alishika nyadhifa mbalimbali serikalini Kama Waziri WA Afya, Waziri WA Ulinzi, na Ukuu wa Mikoa, alikuwa mwanachama mkereketwa na Mpenzi wa Simba.
Raha ya milele umpe e bwana na Apumzike Kwa Amani, Amina!
 
Back
Top Bottom