Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
- Thread starter
- #21
Mheshimiwa Jaji.we hata huelewei unachoandika, Tibaijuka ni wapi alimtukana mtu, wapi alieneza chuki, wapi alifanya uchochezi, acha kuchanganya mambo kwa maslahi yako ya hovyo. Tibaijuka alitoa maoni yake na wala hakuendlea na upuuzi km huo walioufanya hao wapuuzi. mmekosa pa kshika mpaka umhusishe mtu asiyehusika na huo upuuzi wenu. Muishi km raia wema, heshimuni sheria ya nchi, viongozi wetu wameapa kulinda sheria, ukileta upuuzi wao utashughulikiwa tu kwa mujibu wa sheria
Hebu tuoneshe wapi Dr. Slaa alimtukana mtu