Profesa Tibaijuka ameonesha msimamo wake dhidi ya mkataba wa DPW. Je, naye atafikiwa?

Mheshimiwa Jaji.
Hebu tuoneshe wapi Dr. Slaa alimtukana mtu
 
Kwahiyo maandamano nikupindua Serikali? Du upuuzi mtupu, maandamano si yanafundishwa hata shuleni, ni njia mojawapo ya wananchi kudai haki yao.
Halafu unakuta mtu ana masters with flying colors.

Nchi imejaa kutiana hofu
 
Chuki ni nini na nini maana ya chuki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…