The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Hakuna cha shetani, ni makusudi mazima inabidi wanyongwehata hao wasomi hupitiwa na shetani na kuingia mikataba mibovu.
Huwezi kuzungumza ukiwa na pande la mnofu wa nyama mdomoni.Yeye kama yeye alichukua hatua gani?
Inashangaza sana.Yeye kama yeye alichukua hatua gani?
Huyu Mama naye...!, mkataba ni wa siri, wanasheria wenyewe wanaojua sheria wako kimya, unategemea nini kwa mwananchi wa kawaida?.Akihojiwa na watangazaji wa clouds fm ni kwa nini licha ya kuwa na wasomi wengi lakini bado nchi inaingia hasara kwenye mikataba mbalimbali amesema kuna shida kubwa sana kuamini kwamba eti wasomi watatusaidia kwani hata hao wasomi hupitiwa na shetani na kuingia mikataba mibovu.
Amesema kiashiria cha mikataba kuwa mibovu ni hiyo mikataba kuwa ya Siri. Ukisikia tu mkataba wa Siri jua huo ni mibovu. Kama sio mibovu ni kwa maslahi ya umma kwa nini uwe Siri!?
Aidha pro huyo anashangazwa sana na ukimya wa wananchi hasa wanapobaini kuna mikataba ya hovyo namna hii inayoitwa ya Siri.
Hukumsikia wakati wa dp world!?Yeye kama yeye alichukua hatua gani?
Wanatuchosha tu watuache amsahau alivyotuambia Yale mabi aliyopiga et hela mboga si dharau zileYeye kama yeye alichukua hatua gani?
Ni aidha maneno hayatatoka na kusikika vizuri,aliyekugawia atakukata jicho kali au utakabwa na mnofu.Table manners!Huwezi kuzungumza ukiwa na pande la mnofu wa nyama mdomoni.
Well wananchi wako busy na yanga na simba na udaku, i wonder the same why hawaulizi? Until mkataba wa bandari kidogooo ndio wakaamshwa.Akihojiwa na watangazaji wa clouds fm ni kwa nini licha ya kuwa na wasomi wengi lakini bado nchi inaingia hasara kwenye mikataba mbalimbali amesema kuna shida kubwa sana kuamini kwamba eti wasomi watatusaidia kwani hata hao wasomi hupitiwa na shetani na kuingia mikataba mibovu.
Amesema kiashiria cha mikataba kuwa mibovu ni hiyo mikataba kuwa ya Siri. Ukisikia tu mkataba wa Siri jua huo ni mibovu. Kama sio mibovu ni kwa maslahi ya umma kwa nini uwe Siri!?
Aidha pro huyo anashangazwa sana na ukimya wa wananchi hasa wanapobaini kuna mikataba ya hovyo namna hii inayoitwa ya Siri.
Nimemsikiliza amekiri shetani hajawahi kupumzikaYeye kama yeye alichukua hatua gani?
Mpaka leo asubuhi,bado hajatoka CCM. Kuna uwezekano roho wa Bwana yu na bibi Tibaijuka kwa muda.Ukiwa ccm kichwani wanajaza mbolea akitoka nje ndo ubongo unarudi
Usiri kwenye mikataba umeanza hata yy akiwa madarakani, Asilete ujinga hapa yeye na wasomi wengine wote wabovu kama mikataba ilivyo!Akihojiwa na watangazaji wa clouds fm ni kwanini licha ya kuwa na wasomi wengi lakini bado nchi inaingia hasara kwenye mikataba mbalimbali amesema kuna shida kubwa sana kuamini kwamba eti wasomi watatusaidia kwani hata hao wasomi hupitiwa na shetani na kuingia mikataba mibovu.
Amesema kiashiria cha mikataba kuwa mibovu ni hiyo mikataba kuwa ya Siri. Ukisikia tu mkataba wa Siri jua huo ni mibovu. Kama sio mibovu ni kwa maslahi ya umma kwa nini uwe Siri!?
Aidha Profesa Tibaijuka anashangazwa sana na ukimya wa wananchi hasa wanapobaini kuna mikataba ya ovyo namna hii inayoitwa ya Siri.
Lakini,afadhali huyo amethubutu kusema.Na hajaanza leo kutoa ya moyoni.Usiri kwenye mikataba umeanza hata yy akiwa madarakani, Asilete ujinga hapa yeye na wasomi wengine wote wabovu kama mikataba ilivyo!