Profesa Tibaijuka: Mikataba yote tunayoambiwa ni ya Siri ni mibovu. Ashangaa kwanini wananchi wapo kimya

Nasisi tunashangaa kwanini wasomi wapo kimya, wasomi nao wanashangaa kwanini wananchi wapo kimya, wananchi nao wanashangaa kwanini wazee wapo kimyaa, wazee nao wanashangaa kwanini vijana wapo kimya kwa ufupi tunashangaana.
Mwisho wa mchezo huo utakuwa mbaya sana.
 
Professor anna anatema sumu balaa as if na yeye ni mgeni na mfumo wa ccm.
Anakiri kwamba kwenye ngazi zote mawazo na maoni ya kitaalamu hayazingatiwi bali ni siasa inatawala kwenye maamuzi ya mambo mengi ndio maana tumefika tulipo. Tuachie wataalamu wanasiasa wawe watu wa decorations tuu majukwaani na sio kutoa maamuzi.
Tulihitajika tuweke bajeti kubwa kwenye tafiti bila tafiti mambo hayawezi kutendeka endelevu.
 
Akihojiwa na watangazaji wa Clouds fm ni kwanini licha ya kuwa na wasomi wengi lakini bado nchi inaingia hasara kwenye mikataba mbalimbali amesema kuna shida kubwa sana kuamini kwamba eti wasomi watatusaidia kwani hata hao wasomi hupitiwa na shetani na kuingia mikataba mibovu.

Amesema kiashiria cha mikataba kuwa mibovu ni hiyo mikataba kuwa ya Siri. Ukisikia tu mkataba wa Siri jua huo ni mibovu. Kama sio mibovu ni kwa maslahi ya umma kwa nini uwe Siri?

Aidha Profesa Tibaijuka anashangazwa sana na ukimya wa wananchi hasa wanapobaini kuna mikataba ya ovyo namna hii inayoitwa ya Siri.
Baada ya jua kuzama ndiyo anashituka? aseme ukweli kuwa katiba mbovu ndiyo inaleta matatizo yote haya
 
Professor anna anatema sumu balaa as if na yeye ni mgeni na mfumo wa ccm.
Anakiri kwamba kwenye ngazi zote mawazo na maoni ya kitaalamu hayazingatiwi bali ni siasa inatawala kwenye maamuzi ya mambo mengi ndio maana tumefika tulipo. Tuachie wataalamu wanasiasa wawe watu wa decorations tuu majukwaani na sio kutoa maamuzi.
Tulihitajika tuweke bajeti kubwa kwenye tafiti bila tafiti mambo hayawezi kutendeka endelevu.
Bila kuwa na katiba nzuri hakuna lolote, maendeleo ni hisani ya Rais pekee
 
Ni mmoja ya wanasiasa wastaafu wanaonyoosha maelezo. Kunankitu najiuliza hawa watu wa media huwa wanapanagaje nani ahojiwe siku hii.

Naona kama interview ya tibaijuka kaipanga nape vile maana anamjua mama anna mwana twitter mwenzie kwa kumwaga sumu hasa timing ya hii interview.
Clouds tunaomba mumohoji Mwabukusi power breakfast.

Nilibahatika kujua kwamba wasafi fm walipotangaza tuu kumhoji the undisputed Tundu Lissu waliona kwenye computer zao hits za wasikilizaji zilivyopanda na tcra pia wanaziona ikabidi mamlaka ikataze Tundu lissu asihojiwe Goodmorning. Maana alisepa na kijiji na subscribers waliongezeka ghafla
 
Akihojiwa na watangazaji wa Clouds fm ni kwanini licha ya kuwa na wasomi wengi lakini bado nchi inaingia hasara kwenye mikataba mbalimbali amesema kuna shida kubwa sana kuamini kwamba eti wasomi watatusaidia kwani hata hao wasomi hupitiwa na shetani na kuingia mikataba mibovu.

Amesema kiashiria cha mikataba kuwa mibovu ni hiyo mikataba kuwa ya Siri. Ukisikia tu mkataba wa Siri jua huo ni mibovu. Kama sio mibovu ni kwa maslahi ya umma kwa nini uwe Siri?

Aidha Profesa Tibaijuka anashangazwa sana na ukimya wa wananchi hasa wanapobaini kuna mikataba ya ovyo namna hii inayoitwa ya Siri.
Machawa hakuna wasomi.
 
hawana huruma sababu sisi wananchi ni wenda wazimu full stop
 
Back
Top Bottom