Profesa Tibaijuka: Mikataba yote tunayoambiwa ni ya Siri ni mibovu. Ashangaa kwanini wananchi wapo kimya

Profesa Tibaijuka: Mikataba yote tunayoambiwa ni ya Siri ni mibovu. Ashangaa kwanini wananchi wapo kimya

Lakini,afadhali huyo amethubutu kusema.Na hajaanza leo kutoa ya moyoni.
Hajaanza leo kweli kabisa ila tatizo lake ni Double standards zake !
Akiwa nje ya system anasema kweli lakini akiingizwa kwenye system anabadilika 🙄🙌👍🤦🏽‍♂️
 
Professor kasema ukweli kabisa.kwa nini Huwa wanaingia mikataba ya Siri wakati wenye Nchi ni wananchi?Mama Samia Kaingia mikataba mingi ya Siri Kwa Nini?
Umeisahau mikataba ya Mkapa na Kikwete ni ipi iliyowekwa wazi. ??!
Tumuulize Profesori atujulishe ile mikataba ya madini ya dhahabu na Gesi bila kusahau na Mkataba wake na Rais Bush kuhusu Ujenzi wa New City kule Kigamboni. 😳🙌👍
 
Akihojiwa na watangazaji wa Clouds fm ni kwanini licha ya kuwa na wasomi wengi lakini bado nchi inaingia hasara kwenye mikataba mbalimbali amesema kuna shida kubwa sana kuamini kwamba eti wasomi watatusaidia kwani hata hao wasomi hupitiwa na shetani na kuingia mikataba mibovu.

Amesema kiashiria cha mikataba kuwa mibovu ni hiyo mikataba kuwa ya Siri. Ukisikia tu mkataba wa Siri jua huo ni mibovu. Kama sio mibovu ni kwa maslahi ya umma kwa nini uwe Siri?

Aidha Profesa Tibaijuka anashangazwa sana na ukimya wa wananchi hasa wanapobaini kuna mikataba ya ovyo namna hii inayoitwa ya Siri.
Watanzania ni already zombified through Mass Formation Psychosis and there is nothing they can do except sitting down and watching as hell drops loose on them.Ni wa kuhurumiwa tu frankly.
 
Huyu Mama naye...!, mkataba ni wa siri, wanasheria wenyewe wanaojua sheria wako kimya, unategemea nini kwa mwananchi wa kawaida?.
Hebu atuache...!.
Tuko hapa ukumbini tunamsubiri Mama tusemezane.
P
OK Bro, ukitoka humo mjengoni, basi rudi kwenye huu mjengo wa kidigital tusemezane. Hongers kwa kupenya humo.
 
Wanapewa rushwa kubwa kuingia mikataba ya hovyo hovyo na kuwatangazia wenye Nchi yao kuwa mikataba ni ya siri..
 
Huyu mama atulie ale utajiri wake aache kuwa enjoy watanzania
Wakati ukifika mabadiliko yataletwa na watanzania wananchi na siyo wanasiasa

Ova
Umri umeenda na mali anazo lakini huwa hawana peace of mind !
🤦🏽‍♂️
 
Akihojiwa na watangazaji wa Clouds fm ni kwanini licha ya kuwa na wasomi wengi lakini bado nchi inaingia hasara kwenye mikataba mbalimbali amesema kuna shida kubwa sana kuamini kwamba eti wasomi watatusaidia kwani hata hao wasomi hupitiwa na shetani na kuingia mikataba mibovu.

Amesema kiashiria cha mikataba kuwa mibovu ni hiyo mikataba kuwa ya Siri. Ukisikia tu mkataba wa Siri jua huo ni mibovu. Kama sio mibovu ni kwa maslahi ya umma kwa nini uwe Siri?

Aidha Profesa Tibaijuka anashangazwa sana na ukimya wa wananchi hasa wanapobaini kuna mikataba ya ovyo namna hii inayoitwa ya Siri.

Nchi hii ina mijitu mimbulula sana ndio maana nchi inaendeshwa kisebgeh imekaa kimya.
 
Anaongea wakati yeye mwenyewe bado yupo kwenye pepo ya mabwege
Yuko sahihi tuna jamii iliyo nyamazishwa, jamii ya kupokea lolote hata kama litaiumiza jamii wengine walihoji waliaambiawa waende burundu na tumefika hapa tulipo kwasababu ya jamii kunyamza mfano asilimia 80 ya mafanikio kwenye biashara yanamtegemea mjasiriamali lakini aslimia 20 iliyobaki ambayo inahusu mjasiriamali na yanayo mzunguka ina nguvu hata kuua biashara ambayo inasababishwa na jamii kuto kuhoji
 
Hiki kimama despite ya aliyoongea kuwa na mashiko nako ni kajizi tu hawa watu wanatuchezea sana. Huyu alipiga hela za EPA akasema alipewa hela za kunywea kahawa na kaka yake chenge yani 1.7 B unasema hela ya kahawa?
Alikuwepo kwenye serikali ya JK na yote anayoponda kwamba yeye anajifanya msafi sana ni muongo huuyu kibibi mwizi tu alisimamia wozara ngapi na je aliposhauri na wakakataa ushauri wake alifanya nini? Mbona hakujiuzulu wala kuongea kipindi kile?

Hawa watu wanatuchezea sana imagine anaongea yote haya na bado ni mwana CCM mtiifu chama kilichotufikisha hapa na yeye akiwa mmoja ya viongozi 2aliotufikisha hapa. Mwizi kab8sa.hana hiyo legality ya kujadili.
 
Akihojiwa na watangazaji wa Clouds fm ni kwanini licha ya kuwa na wasomi wengi lakini bado nchi inaingia hasara kwenye mikataba mbalimbali amesema kuna shida kubwa sana kuamini kwamba eti wasomi watatusaidia kwani hata hao wasomi hupitiwa na shetani na kuingia mikataba mibovu.

Amesema kiashiria cha mikataba kuwa mibovu ni hiyo mikataba kuwa ya Siri. Ukisikia tu mkataba wa Siri jua huo ni mibovu. Kama sio mibovu ni kwa maslahi ya umma kwa nini uwe Siri?

Aidha Profesa Tibaijuka anashangazwa sana na ukimya wa wananchi hasa wanapobaini kuna mikataba ya ovyo namna hii inayoitwa ya Siri.

Kwa namna ninavyowafahamu CCM jinsi walivyo waovu, huyu mama siku siyo nyingi ataitwa kuwa ni msaliti, na Kisha atawekwa kwenye list yao ya 'most wanted people, whether dead or alive.'

Hawa Watu KAMWE hawataki kabisa kuambiwa ukweli mchungu wa namna hiyo.
Namuonea huruma Sana huyo mama.

Muda utaongea.
 
Back
Top Bottom