lakini gen z ni majambazi, waporaji na waharibifu wa mali zao wenyewe, iweje utamani kua kama watu waliokosa uelekeo, wenye kiburi na wasiotaka kulipa kodi, ushuru na tozo kwa maslahi yao na nchi yao?
yaani unatamani kua mtu mvivu, mwenye kiburi na jeuri anaedeka na kuharibu mali za wengine , eti ili anufaike yeye pekee kana kwamba hakuna wananchi wengine, kweli?
ni muhimu kujitolea kufanya kazi kwa bidii na maarifa zaidi kwa manufaa yetu na Taifa letu,
hadaa za maprof. kama huyu mumama zisituchochee au kutushawishi na kujitumbukiza kwenye shida ambazo hazina maana yoyote kwama huko Kenya, 🐒
Prof.alishakua mtumishi kwa muda mrefu sana kitaifa na kimataifa, jambo la kujituliza ni lini ameanza kuona na kugundua haya ambayo leo hii eti analaumu wananchi kwa kukaa kimya?🐒
sio chuki binafsi tu ndio eti anataka kuchonganisha wananchi na serikali yao sikivu ya CCM?🐒