Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 4,285
- 4,074
Huyu mama alikuwa Mbunge, Waziri kwanini wakati akiwa katika hizo nafasi hakusema haya?Nchi hii watu waliopo Kwenye madaraka, hawana huruma hata kidogo na Taifa, badala yake wanatumia nafasi hizo kutuibia bila huruma😎