Profesa Tibaijuka: Mikataba yote tunayoambiwa ni ya Siri ni mibovu. Ashangaa kwanini wananchi wapo kimya

Profesa Tibaijuka: Mikataba yote tunayoambiwa ni ya Siri ni mibovu. Ashangaa kwanini wananchi wapo kimya

ndio maana tukaamua mikataba yote ya rasilimali za taifa lazima ipitishwe bungeni bunge liridhie, na ndicho kilichofanyika kwenye ile IGA ya DPW na Bandari zetu.
Bungeni kwenyewe wamejaa watu design ya
  1. Msukuma
  2. Jah People
  3. Kibajaji
Ukigeukia wasomi unakutana na
  1. Prof Vinyesi
  2. Prof. Kigeugeu
  3. Dr. Hasomeki
  4. Dr. Tamaambele
Tutatoboa?
Kwa wenzetu walioendelea, wanaojitambua, ukicheza na maslahi ya nchi tu umekwisha, sisi hapa sheria zetu ni za kulindana, kubembelezana na kuogopana
 
Akihojiwa na watangazaji wa Clouds fm ni kwanini licha ya kuwa na wasomi wengi lakini bado nchi inaingia hasara kwenye mikataba mbalimbali amesema kuna shida kubwa sana kuamini kwamba eti wasomi watatusaidia kwani hata hao wasomi hupitiwa na shetani na kuingia mikataba mibovu.

Amesema kiashiria cha mikataba kuwa mibovu ni hiyo mikataba kuwa ya Siri. Ukisikia tu mkataba wa Siri jua huo ni mibovu. Kama sio mibovu ni kwa maslahi ya umma kwa nini uwe Siri?

Aidha Profesa Tibaijuka anashangazwa sana na ukimya wa wananchi hasa wanapobaini kuna mikataba ya ovyo namna hii inayoitwa ya Siri.

Anashangaa nini wakati yeye alikuwa serikalini na anajua sera za CCM ni kutoa elimu duni ili CCM iendelee kutawala kwa zaidi miaka 80.
 
Akihojiwa na watangazaji wa Clouds fm ni kwanini licha ya kuwa na wasomi wengi lakini bado nchi inaingia hasara kwenye mikataba mbalimbali amesema kuna shida kubwa sana kuamini kwamba eti wasomi watatusaidia kwani hata hao wasomi hupitiwa na shetani na kuingia mikataba mibovu.

Amesema kiashiria cha mikataba kuwa mibovu ni hiyo mikataba kuwa ya Siri. Ukisikia tu mkataba wa Siri jua huo ni mibovu. Kama sio mibovu ni kwa maslahi ya umma kwa nini uwe Siri?

Aidha Profesa Tibaijuka anashangazwa sana na ukimya wa wananchi hasa wanapobaini kuna mikataba ya ovyo namna hii inayoitwa ya Siri.

Watu wengine hawana haya kabisa.
Profesa ulipochukuwa bilioni 1.6 kutoka kwa James Regemalila kwenye sakata la ESCROW,mbona hukuita press comference kuwa pesa hiyo ni msaada kwa shule yako?
Lakini ulipobanwa mbavu kila kona utoe maelezo ya fedha hiyo ukiwa mtumishi wa umma, ndio ukaja na ngonjela za eti ni mchango au msaada kwa shule husika.
Na ulivyojitia kiganganizi kukataa kutema wadhifa wa uwaziri wa ardhi,Bosi wako Kikwete akakufukuza kazi,ukatoka kwa aibu kwa jina maarufu sh milioni kumi ni pesa ya mboga.
Profesa wewe si mtu safi,huna tofauti na wale unaowabeza.
Wanasema nyani haoni....
 
Mkuu Kuta, KUTATABHETAKULE , kwanza ni kweli kabisa mikataba mingi ina kipengele hicho cha non disclosure kwa ajili ya kulinda siri za biashara, lakini kwa mikataba kuhusu rasilimali za taifa, haipaswi kuwa siri kwasababu inahusu public property, wenye nchi ni wananchi na sio serikali, hivyo wenye mali has the right kujua kuhusu hatma ya mali zao, ndio maana tukaamua mikataba yote ya rasilimali za taifa lazima ipitishwe bungeni bunge liridhie, na ndicho kilichofanyika kwenye ile IGA ya DPW na Bandari zetu.

Nikaomba HGA pia iwe public isiwe siri, Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee! nikatoa ombi hili Baada ya IGA ya DPW na Bandari zetu, licha ya mapungufu, HGA yake inakuja. Ombi kwa Serikali yetu sikivu, tunaomba Maximum Transparency kwenye HGA halikusikilizwa!, ile HGA ni siri, ila ile IGA ya kimaghumashi iliwekwa pembeni for illegality!.
P
Asante kwa maelezo yako mazuri kuhusu utata wa mikataba yetu kama wananchi na hao wawekezaji. Nikushukuru pia kwa jitihada zako za kuishauri sirikali kuhusiana na mikataba hii ingawa wao wameamua kuweka gundi masikioni. Mara nyingi hustuka mara tu mambo yakienda kombo. Na huu ndio unafiki wa watu tuliowapa nafasi ya kulinda maslahi kwa niaba yetu kama wenyenchi. Inasikitisha na kifikirisha sana .
 
Kiukweli hata viongozi wetu wanapaswa kufundishwa katiba, japo Rais wa JMT ndiye mtu mwenyewe madaraka makubwa na powers kuliko watu wote ndani ya JMT, powers hizo na madaraka hayo ana derives kutoka kwa Mwananchi, ndiye mwenye nchi, ndiye mwenyewe katiba, Rais ni mtumishi tuu wa Mwananchi nchi sii yake, yeye ameajiriwa tuu na Mwananchi kupitia kura yake, na kukasimiwa madaraka na powers kwa niaba ya Mwananchi, the real boss ni yule anayekulipa mshahara, anayemlipa mshahara Rais wa JMT ni Mwananchi kupitia kodi yake, hivyo Rais, Serikali, Bunge, Mahakama, haziwezi ku override katiba na haki za Mwananchi!. Sisi hapa wame override bila kujua, tunawaelimisha, wakiendelea kutia pamba masikioni kujifanya hawasikii, karma itawasikilizisha!.
P
 
Akihojiwa na watangazaji wa Clouds fm ni kwanini licha ya kuwa na wasomi wengi lakini bado nchi inaingia hasara kwenye mikataba mbalimbali amesema kuna shida kubwa sana kuamini kwamba eti wasomi watatusaidia kwani hata hao wasomi hupitiwa na shetani na kuingia mikataba mibovu.

Amesema kiashiria cha mikataba kuwa mibovu ni hiyo mikataba kuwa ya Siri. Ukisikia tu mkataba wa Siri jua huo ni mibovu. Kama sio mibovu ni kwa maslahi ya umma kwa nini uwe Siri?

Aidha Profesa Tibaijuka anashangazwa sana na ukimya wa wananchi hasa wanapobaini kuna mikataba ya ovyo namna hii inayoitwa ya Siri.

Amesema kiashiria cha mikataba kuwa mibovu ni hiyo mikataba kuwa ya Siri. Ukisikia tu mkataba wa Siri jua huo ni mibovu. Kama sio mibovu ni kwa maslahi ya umma kwa nini uwe Siri?👌🏿💯
 
Baba hiyo moral authority

She is corrupt na alikua escrow
 
Amesema kiashiria cha mikataba kuwa mibovu ni hiyo mikataba kuwa ya Siri. Ukisikia tu mkataba wa Siri jua huo ni mibovu. Kama sio mibovu ni kwa maslahi ya umma kwa nini uwe Siri?👌🏿💯
Tuna madini mengi sana ya thamani tunayo Gesi na kadhalika lakini vyote hivyo havitunufaishi inavyotakiwa kwa sababu ya huo Usiri Usiri wao waliouweka kwenye hiyo mikataba !
Kweli KARMA haitawaacha salama wahusika !🙏
 
Watanzania mnaishi kwenye dunia yenu (and you think the world revolves, around you).

Vinginevyo dunia inataratibu zake za kufanya mambo na mikataba ya kimataifa aspect ya ‘consideration’ ni siri almost all the time duniani kote (sio Tanzania tu).

Swali la msingi hapo ni hilo lililoulizwa na mwandishi mwenye shati jeupe je tatizo ni quality ya negotiators wenye kwenye mikataba (na hapo ndio kwenye shida) halisi sisi wenyewe tunaingia mikataba ya hovyo.

Sasa kama 90% ya watanzania including lawyers wameshindwa elewa IGA wataelewa consideration za mikataba. Hata ukiiweka wazi si kwenda kupoteshana tu.

Kama hesabu raisi za kodi kama VAT ni shida kwenye jamii, 95% ya watanzania hawawezi hesabu za hizo contracts (consideration aspects za mkataba) Humo kuna scenarios kibao, watu wakisikia mikataba wanadhani maudhui yake kusoma ni rahisi kama vile yaliyomo keenye IGA.

Toka nianze kufuatilia kesi za kimataifa za kitanzania, kesi ambayo ingekuwa ngumu ni ya ACCACIA kama ingeenda mahakamani.

Hizo zingine za Indiana and other nonsense wanashindwa kwa sababu wanasheria hawana uelewa mpana wa five aspects za contract law.

Kesi ya Indiana mimi sio mwanasheria lakini ile sishindwi miaka 800, sasa ndio wangeweza kesi ya ACCACIA.

Watu kama kina Tibaijuka kufika walipofika ni kuwa at the right place and at the right na qualification zao. Lakini Tibaijuka hana uwezo kwa international standards.

Nchi iandae vijana wenye uwezo kweli, amasivyo itabaki maskini kwa muda mrefu sana.

Ndio ukweli wenyewe
 
Back
Top Bottom