mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 6,290
- 8,600
Refer Sakata la sukariNchi hii watu waliopo Kwenye madaraka, hawana huruma hata kidogo na Taifa, badala yake wanatumia nafasi hizo kutuibia bila huruma😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Refer Sakata la sukariNchi hii watu waliopo Kwenye madaraka, hawana huruma hata kidogo na Taifa, badala yake wanatumia nafasi hizo kutuibia bila huruma😎
Ukimwambia njoo tuandamane hatakiYeye kama yeye alichukua hatua gani?
Bungeni kwenyewe wamejaa watu design yandio maana tukaamua mikataba yote ya rasilimali za taifa lazima ipitishwe bungeni bunge liridhie, na ndicho kilichofanyika kwenye ile IGA ya DPW na Bandari zetu.
Anashangaa nini wakati yeye alikuwa serikalini na anajua sera za CCM ni kutoa elimu duni ili CCM iendelee kutawala kwa zaidi miaka 80.Akihojiwa na watangazaji wa Clouds fm ni kwanini licha ya kuwa na wasomi wengi lakini bado nchi inaingia hasara kwenye mikataba mbalimbali amesema kuna shida kubwa sana kuamini kwamba eti wasomi watatusaidia kwani hata hao wasomi hupitiwa na shetani na kuingia mikataba mibovu.
Amesema kiashiria cha mikataba kuwa mibovu ni hiyo mikataba kuwa ya Siri. Ukisikia tu mkataba wa Siri jua huo ni mibovu. Kama sio mibovu ni kwa maslahi ya umma kwa nini uwe Siri?
Aidha Profesa Tibaijuka anashangazwa sana na ukimya wa wananchi hasa wanapobaini kuna mikataba ya ovyo namna hii inayoitwa ya Siri.
Watu wengine hawana haya kabisa.Akihojiwa na watangazaji wa Clouds fm ni kwanini licha ya kuwa na wasomi wengi lakini bado nchi inaingia hasara kwenye mikataba mbalimbali amesema kuna shida kubwa sana kuamini kwamba eti wasomi watatusaidia kwani hata hao wasomi hupitiwa na shetani na kuingia mikataba mibovu.
Amesema kiashiria cha mikataba kuwa mibovu ni hiyo mikataba kuwa ya Siri. Ukisikia tu mkataba wa Siri jua huo ni mibovu. Kama sio mibovu ni kwa maslahi ya umma kwa nini uwe Siri?
Aidha Profesa Tibaijuka anashangazwa sana na ukimya wa wananchi hasa wanapobaini kuna mikataba ya ovyo namna hii inayoitwa ya Siri.
Asante kwa maelezo yako mazuri kuhusu utata wa mikataba yetu kama wananchi na hao wawekezaji. Nikushukuru pia kwa jitihada zako za kuishauri sirikali kuhusiana na mikataba hii ingawa wao wameamua kuweka gundi masikioni. Mara nyingi hustuka mara tu mambo yakienda kombo. Na huu ndio unafiki wa watu tuliowapa nafasi ya kulinda maslahi kwa niaba yetu kama wenyenchi. Inasikitisha na kifikirisha sana .Mkuu Kuta, KUTATABHETAKULE , kwanza ni kweli kabisa mikataba mingi ina kipengele hicho cha non disclosure kwa ajili ya kulinda siri za biashara, lakini kwa mikataba kuhusu rasilimali za taifa, haipaswi kuwa siri kwasababu inahusu public property, wenye nchi ni wananchi na sio serikali, hivyo wenye mali has the right kujua kuhusu hatma ya mali zao, ndio maana tukaamua mikataba yote ya rasilimali za taifa lazima ipitishwe bungeni bunge liridhie, na ndicho kilichofanyika kwenye ile IGA ya DPW na Bandari zetu.
Nikaomba HGA pia iwe public isiwe siri, Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee! nikatoa ombi hili Baada ya IGA ya DPW na Bandari zetu, licha ya mapungufu, HGA yake inakuja. Ombi kwa Serikali yetu sikivu, tunaomba Maximum Transparency kwenye HGA halikusikilizwa!, ile HGA ni siri, ila ile IGA ya kimaghumashi iliwekwa pembeni for illegality!.
P
Acha kuandamana hata aseme tu tunataka Katiba mpya bora hawezi kusema kwa sababu yeye pia ni mnufaika wa mifumo yote !Ukimwambia njoo tuandamane hataki
Hazirudi bali hiyo ni njia ya kutaka akumbukwe kwamba na yeye yupo wajameni ili aitwe meza kuu !Wakitoka madarakani ndio akili zinarudi.
Kiukweli hata viongozi wetu wanapaswa kufundishwa katiba, japo Rais wa JMT ndiye mtu mwenyewe madaraka makubwa na powers kuliko watu wote ndani ya JMT, powers hizo na madaraka hayo ana derives kutoka kwa Mwananchi, ndiye mwenye nchi, ndiye mwenyewe katiba, Rais ni mtumishi tuu wa Mwananchi nchi sii yake, yeye ameajiriwa tuu na Mwananchi kupitia kura yake, na kukasimiwa madaraka na powers kwa niaba ya Mwananchi, the real boss ni yule anayekulipa mshahara, anayemlipa mshahara Rais wa JMT ni Mwananchi kupitia kodi yake, hivyo Rais, Serikali, Bunge, Mahakama, haziwezi ku override katiba na haki za Mwananchi!. Sisi hapa wame override bila kujua, tunawaelimisha, wakiendelea kutia pamba masikioni kujifanya hawasikii, karma itawasikilizisha!.Asante kwa maelezo yako mazuri kuhusu utata wa mikataba yetu kama wananchi na hao wawekezaji. Nikushukuru pia kwa jitihada zako za kuishauri sirikali kuhusiana na mikataba hii ingawa wao wameamua kuweka gundi masikioni. Mara nyingi hustuka mara tu mambo yakienda kombo. Na huu ndio unafiki wa watu tuliowapa nafasi ya kulinda maslahi kwa niaba yetu kama wenyenchi. Inasikitisha na kifikirisha sana .
Amesema kiashiria cha mikataba kuwa mibovu ni hiyo mikataba kuwa ya Siri. Ukisikia tu mkataba wa Siri jua huo ni mibovu. Kama sio mibovu ni kwa maslahi ya umma kwa nini uwe Siri?👌🏿💯Akihojiwa na watangazaji wa Clouds fm ni kwanini licha ya kuwa na wasomi wengi lakini bado nchi inaingia hasara kwenye mikataba mbalimbali amesema kuna shida kubwa sana kuamini kwamba eti wasomi watatusaidia kwani hata hao wasomi hupitiwa na shetani na kuingia mikataba mibovu.
Amesema kiashiria cha mikataba kuwa mibovu ni hiyo mikataba kuwa ya Siri. Ukisikia tu mkataba wa Siri jua huo ni mibovu. Kama sio mibovu ni kwa maslahi ya umma kwa nini uwe Siri?
Aidha Profesa Tibaijuka anashangazwa sana na ukimya wa wananchi hasa wanapobaini kuna mikataba ya ovyo namna hii inayoitwa ya Siri.
Kweli na haki vina asili kutoka kwa Mungu. Hakuna haja ya kuangalia imesemwa au imetendwa na nani?Hata saa mbovu wakati mwingine huwa inasema ukweli.
Prof. Tibaijuka Ana Hoja yenye mashiko, asikilizwe.
Baba hiyo moral authorityAkihojiwa na watangazaji wa Clouds fm ni kwanini licha ya kuwa na wasomi wengi lakini bado nchi inaingia hasara kwenye mikataba mbalimbali amesema kuna shida kubwa sana kuamini kwamba eti wasomi watatusaidia kwani hata hao wasomi hupitiwa na shetani na kuingia mikataba mibovu.
Amesema kiashiria cha mikataba kuwa mibovu ni hiyo mikataba kuwa ya Siri. Ukisikia tu mkataba wa Siri jua huo ni mibovu. Kama sio mibovu ni kwa maslahi ya umma kwa nini uwe Siri?
Aidha Profesa Tibaijuka anashangazwa sana na ukimya wa wananchi hasa wanapobaini kuna mikataba ya ovyo namna hii inayoitwa ya Siri.
Tuna madini mengi sana ya thamani tunayo Gesi na kadhalika lakini vyote hivyo havitunufaishi inavyotakiwa kwa sababu ya huo Usiri Usiri wao waliouweka kwenye hiyo mikataba !Amesema kiashiria cha mikataba kuwa mibovu ni hiyo mikataba kuwa ya Siri. Ukisikia tu mkataba wa Siri jua huo ni mibovu. Kama sio mibovu ni kwa maslahi ya umma kwa nini uwe Siri?👌🏿💯