Kilichokuwa kinawakausha ni dawa ama masharti ya mganga?Umenikumbusha miaka ya 2001 kulikuwa na mganga mmoja hivi maeneo ya tegeta anaitwa babu jamaa alikuwa anasema ana dawa ya ukimwi kapiga sana hela miaka hiyo dawa zake alikuwa akiwapa watu wanakauka kama kuni aisee Cc ephen_
Unausambaza bila soni!Nilishawaambia katika maamuzi sahibi niliowahi fanya maishani mwangu ni kutokuanza kutumia arvs....19 years and counting nadunda tuu na kula mbususu
Arv zikipotea hizo tiba asili zitashika kasi mno.Mkiambiwa mboreshe tibabasili mnaiita ya kizamani nabuchawi mara mila potofu
Endapo hili litatokea slsumiwe serikali sio trump
😁😁Usitupangie maisha wewe
Absolutely !!!Watakoumia ni watu wa chini wanaonufaika moja kwa moja na misada hyo
Si ndo ma anko ma anti na wasioeleweka jinsia zao wote back to basicsHujaona Transgender wanarudishwa magereza ya wanaume yeye anawahesabu ni wanaume 😂😂😂
Nahisi ni dawa maana niliwahi kushuhudia mmoja akifa miaka ya 2002 pale mtaani tegeta msichokeKilichokuwa kinawakausha ni dawa ama masharti ya mganga?
Hao wanaenda kuisha huko 😃😀😀😀😀😀Hujaona Transgender wanarudishwa magereza ya wanaume yeye anawahesabu ni wanaume 😂😂😂
Hatari sana.Nahisi ni dawa maana niliwahi kushuhudia mmoja akifa miaka ya 2002 pale mtaani tegeta msichoke
Tatizo lingine hiliMbunge wa zamani wa Muleba, Prof Tibaijuka amesema kitendo cha Rais Trump wa US kusimamisha msaada ya kimataifa kitaleta Kiama Tanzania na Afrika
Pia soma > Trump asimamisha misaada kwa nchi nyingine kwa siku 90 ili kupitiwa upya. Tanzania nayo kuathirika
Trump amezuia misaada ya sekta za afya nk Ili Kufanya ukaguzi kama misasda hiyo inatumika kwa usahihi au fedha zinaishia mifukoni mwa eahuni wachache
Ahsanteni sana
---
Kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), Prof. Tibaijuka amesema “Upatikanaji wa madawa ya kuongeza kinga za mwili ARVs utaathirika, ninashauri Wizara ya Afya kuufahamisha umma wa Watanzania je ni hatua gani za haraka zinachukuliwa kutathmini jambo hili na kuchukua hatua stahiki?, ikibidi African Union waitishe kikao maalum kuangalia suala hili na kuweka mkakati wa pamoja, Waathirika wa gonjwa hili la UKIMWI ni Waafrika na ugonjwa haujulikani ulitoka wapi?, tujitetee”
“Aidha juhudi za kuthibiti maambukizi ya virusi vya UKIMWI ziwekewe nguvu mpya, upatikanaji wa ARVs utakuwa mgumu na kununua ARVs kibiashara ni jambo litakalohitaji bajeti kubwa na uwezo wa taifa kwa ujumla ni mdogo na jambo limekuwa la ghafla, Waathirika wengi hawana uwezo kununua madawa hayo wenyewe maisha yao yote”
“Afya zao zikidhoofika itatumika gharama kubwa kuwauguza hivo kusababisha umaskini na vifo, pia bila ARVs maambukizi yatashika kasi mpya, tuwe macho”
Trump mkali jamanHao wanaenda kuisha huko 😃😀😀😀😀😀
😂😂😂😂😂Si ndo ma anko ma anti na wasioeleweka jinsia zao wote back to basics
AiseeMbunge wa zamani wa Muleba, Prof Tibaijuka amesema kitendo cha Rais Trump wa US kusimamisha msaada ya kimataifa kitaleta Kiama Tanzania na Afrika