Profesa Tibaijuka: Trump kusitisha misaada ARVs zitaadimika Afrika. African Union iitishe kikao maalum kuweka mkakati

Mwalimu Nyerere aliona mambo mengi sana "sera ya kujitegemea ililenga nyakati kama hizi " aibu gani hizi Ngoja nikameze dozi zangu nisije anguka kama kuku wa mdondo ...

kesho mapema sana nipo kwenye foleni ole wake anipe dozi za mwezi mmoja...
Mambo gani hay la haula !!
 
Juliana is back once again 😰
 
Kwanza hapa kama 20% ya watanzania watakata motooo!!Hawa ni wale waliokua wanachukua huduma.

Magendo ya hizi dawa yataongezeka.
Na maambukizi kwa watoto yataongezeka.

Ila watu sasa wataacha kujiachia maana ile ya kusema DAWA SI BURE ITAISHA
Ngoja ni edit maana ninekwaza watu na sipendelei kukwaza waumini
 
Unaelekea unapenda ushoga
 
πŸ˜…πŸ˜… kuna page IG inahusika na issue za HIV anasema stock ipo ya kutosha na pia sio USA pekee anayetoa ARVs wapo wadau wengine wanaochangia hizo dawa ikiwemo serikali ambayo inachangia 40%. Amesema kwa TB ndo US na mashirika yake pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…