Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Tatzo sasa watakufa watu muhimu sana,afu tunabak tusiokuwa na faida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee mama wawili weweeeee
Vipi mbona umechachamaa na umama wawili wangu ulitaka nijiite tasa ama nini?Wee mama wawili weweeeee
Tufe tu hatuna maanaInabidi waafrika tupungue duniani, maana ni mzigo tu kazi kukaa na kusubiria misaada
Dejane nimekumisTrump mkali jaman
Wacha niusambaze ata mie nilisambaziwaUnausambaza bila soni!
Juliana is back once again 😰Mbunge wa zamani wa Muleba, Prof Tibaijuka amesema kitendo cha Rais Trump wa US kusimamisha msaada ya kimataifa kitaleta Kiama Tanzania na Afrika
Pia soma > Trump asimamisha misaada kwa nchi nyingine kwa siku 90 ili kupitiwa upya. Tanzania nayo kuathirika
Trump amezuia misaada ya sekta za afya nk Ili Kufanya ukaguzi kama misasda hiyo inatumika kwa usahihi au fedha zinaishia mifukoni mwa eahuni wachache
Ahsanteni sana
---
Kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), Prof. Tibaijuka amesema “Upatikanaji wa madawa ya kuongeza kinga za mwili ARVs utaathirika, ninashauri Wizara ya Afya kuufahamisha umma wa Watanzania je ni hatua gani za haraka zinachukuliwa kutathmini jambo hili na kuchukua hatua stahiki?, ikibidi African Union waitishe kikao maalum kuangalia suala hili na kuweka mkakati wa pamoja, Waathirika wa gonjwa hili la UKIMWI ni Waafrika na ugonjwa haujulikani ulitoka wapi?, tujitetee”
“Aidha juhudi za kuthibiti maambukizi ya virusi vya UKIMWI ziwekewe nguvu mpya, upatikanaji wa ARVs utakuwa mgumu na kununua ARVs kibiashara ni jambo litakalohitaji bajeti kubwa na uwezo wa taifa kwa ujumla ni mdogo na jambo limekuwa la ghafla, Waathirika wengi hawana uwezo kununua madawa hayo wenyewe maisha yao yote”
“Afya zao zikidhoofika itatumika gharama kubwa kuwauguza hivo kusababisha umaskini na vifo, pia bila ARVs maambukizi yatashika kasi mpya, tuwe macho”
HJFMRIAcha kuwa na akili fupi kuna taasisi kibao wameajiri watz zipo bongo. Marekani aki pull out watu wanakosa ajija kuna water read nk
Ngoja ni edit maana ninekwaza watu na sipendelei kukwaza wauminiKwanza hapa kama 20% ya watanzania watakata motooo!!Hawa ni wale waliokua wanachukua huduma.
Magendo ya hizi dawa yataongezeka.
Na maambukizi kwa watoto yataongezeka.
Ila watu sasa wataacha kujiachia maana ile ya kusema DAWA SI BURE ITAISHA
Unaelekea unapenda ushogaTrump yupo sahihi, kila nchi ianze kujitambua na kuanza kujitegemea wao wenyewe Sasa, wasiendelee kuitegemea Marekani. Safi Sana hii, hii itawalazimisha Watu wengine waliopo duniani kote hususani Watu weusi kuanza kujitambua na kupata akili nzuri ya kuweza kujitegemea. Hatua hizi za Utawala wa Trump ni Kama 'Black Consciousness Campaign' kwa Watu weusi wote kabisa hapa duniani ili waache kutegemea Misaada kutoka Marekani. Ni mwanzo mzuri.
Kwanza Watawala wengi sana wa kutoka katika nchi za Afrika pamoja na Vibaraka wao daima wamekuwa wakiwasema vibaya sana Wazungu hususani Watu wa Marekani kuwa ni Mabeberu na Wapenda Ushoga, Sasa kwa hatua hizi za Utawala wa Trump zitasaidia Sana kukomeshwa kwa hiyo Misaada inayodaiwa kuwa eti 'imetoka na Mabeberu na Wapenda Ushoga.'
Watu wa Afrika (Watu weusi) hususani waTanzania sasa wanatakiwa waelekeze maombi yao ya Misaada kwenda kwa Marafiki zao wa nchi za Mashariki ambao wanawaona kuwa siyo Mabeberu na Wasiopenda Ushoga, nchi za China, Urusi, Korea ya Kaskazini, Belarus, n.k ili waweze kupatiwa Misaada kutoka huko.
😅😅 kuna page IG inahusika na issue za HIV anasema stock ipo ya kutosha na pia sio USA pekee anayetoa ARVs wapo wadau wengine wanaochangia hizo dawa ikiwemo serikali ambayo inachangia 40%. Amesema kwa TB ndo US na mashirika yake pekeeMwalimu Nyerere aliona mambo mengi sana "sera ya kujitegemea ililenga nyakati kama hizi " aibu gani hizi Ngoja nikameze dozi zangu nisije anguka kama kuku wa mdondo ...
kesho mapema sana nipo kwenye foleni ole wake anipe dozi za mwezi mmoja...
Mambo gani hay la haula !!
Ila usiwaadhibu wadogo zangu wa JF.Wacha niusambaze ata mie nilisambaziwa
Njaa au ngwengwe itakuuaWengine tumeajiriwa kwenye hayo mashirika yanayohisiana na HIV, njaa ndiyo itatuuwa!🙆
Wiki ya kwanza ilikuwa inafanya kazi wiki ya pili mtu unakauka kama Kuni yaaani unakonda sanaNimecheka sana hao uliosema walikauka kisa dawa au nin dawa zilikuwa za uongo??
Wananikwepa kama ukoma na hi i wanajua nina kibamia ndio hawanitaki kabisaaaaIla usiwaadhibu wadogo zangu wa JF.