Waambie Watawala wako wawe na Mipango na Mikakati madhubuti ya kuimarisha chumi za nchi zao, waache kutegemea Misaada kutoka kwa mashoga. La sivyo wakubali vigezo na masharti ya Watoa Misaada ikiwamo na kuukubali Ushoga. Kukubali Misaada kutoka kwa mashoga ni sawa na kuukubali Ushoga. Katika muktadha huu, Je, ni nchi gani hasa ya Afrika ambayo inaweza kujinasibu kwamba haikubaliani na Ushoga ikiwa miaka yote kabisa nchi hizo zimekuwa zikipokea Misaada kutoka kwa hao Watu?Unaelekea unapenda ushoga
mamaeeh Trump aka mwamba aka the killing machine huyu hapa.Zimbambwe Raia wameshaanza kupanic
View: https://twitter.com/healthtimeszim/status/1883266121400545735
Ishu sio kuzalisha tu. ishu ni nani analipia izo gharama za kuzalisha na kuzisambaza izo dawa?Mbona nilisikia Uganda wanazalisha ARV'S??
Ashikilie hapo hapo asiachiemamaeeh Trump aka mwamba aka the killing machine huyu hapa.
Sawa sawaWaambie Watawala wako wawe na Mipango na Mikakati madhubuti ya kuimarisha chumi za nchi zao, waache kutegemea Misaada kutoka kwa mashoga. La sivyo wakubali vigezo na masharti ya Watoa Misaada ikiwamo na kuukubali Ushoga. Kukubali Misaada kutoka kwa mashoga ni sawa na kuukubali Ushoga. Katika muktadha huu, Je, ni nchi gani hasa ya Afrika ambayo inaweza kujinasibu kwamba haikubaliani na Ushoga ikiwa miaka yote kabisa nchi hizo zimekuwa zikipokea Misaada kutoka kwa hao Watu?
mkuu kumbuka kuna magonjwa mengi zaidi ya iyo hiv, umeskia balaa la marburg?Ashikilie hapo hapo asiachie
Anza wewe kuondokaInabidi waafrika tupungue duniani, maana ni mzigo tu kazi kukaa na kusubiria misaada
Afrika tuunganeIshu sio kuzalisha tu. ishu ni nani analipia izo gharama za kuzalisha na kuzisambaza izo dawa?
duh dhambi sana aiseeHii ni kweli maana mie ni mmoja wapo
Tutapata akili,tuache utegemezimkuu kumbuka kuna magonjwa mengi zaidi ya iyo hiv, umeskia balaa la marburg?
pia wew unaweza kuwa mzima ila una ndugu wagonjwa. wakianza kuharisha kwa kukosa dawa utawaacha wafe?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣duh dhambi sana aisee
Daah tumefikia huku😔😂Dunia tunayoishi ina mambo Kweli Kweli
Vijana badala ya kusikitika Wao ndio kwanza wanampongeza Rais Trump Kwa kuzuia dawa za kufubaza virus Vya ukimwi zisiletwe Kwa msaada
Nimeshangaa sana 🐼