Hapo watu hawana budi kuelewa ya kwamba professor Tibaijuka anaiamsha serikali iwe proactive katika ketenga bajeti mapema ya dawa za ARV wasisubirie mpaka watu watakapo kuwa wanadondoka kama kuku wa mdondo ndio hatua zichukuliwe,maana akili za watu weusi ni reactive wanasubiria mpaka waone athari za moja kwa moja wakati itakuwa too late .