spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Tulivo na akili za ajabu watasema mafuta ya mwamposa si yapoWaziri wa zamani wa Ardhi, Prof. Anna Tibaijuka amesema afya za Mamilioni ya Waafrika na Watanzania zipo hatarini kutokana na uamuzi wa Rais wa Marekani Donald Trump kusitisha misaada kwa Mashirika ya Afya Duniani hususani PEPFAR na GLOBAL FUND ambapo amesema uamuzi huo ukitekelezwa ni kiama.
Kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), Prof. Tibaijuka amesema “Upatikanaji wa madawa ya kuongeza kinga za mwili ARVs utaathirika, ninashauri Wizara ya Afya kuufahamisha umma wa Watanzania je ni hatua gani za haraka zinachukuliwa kutathmini jambo hili na kuchukua hatua stahiki?, ikibidi African Union waitishe kikao maalum kuangalia suala hili na kuweka mkakati wa pamoja, Waathirika wa gonjwa hili la UKIMWI ni Waafrika na ugonjwa haujulikani ulitoka wapi?, tujitetee”
“Aidha juhudi za kuthibiti maambukizi ya virusi vya UKIMWI ziwekewe nguvu mpya, upatikanaji wa ARVs utakuwa mgumu na kununua ARVs kibiashara ni jambo litakalohitaji bajeti kubwa na uwezo wa taifa kwa ujumla ni mdogo na jambo limekuwa la ghafla, Waathirika wengi hawana uwezo kununua madawa hayo wenyewe maisha yao yote”
“Afya zao zikidhoofika itatumika gharama kubwa kuwauguza hivo kusababisha umaskini na vifo, pia bila ARVs maambukizi yatashika kasi mpya, tuwe macho”
Source: Millard Ayo
Toa maoni yako
Ni muhimu zaidi wananchi kukujiepusha na ngono zembe ili kuepuka usumbufu wa Ukimwi baada.🐒Waziri wa zamani wa Ardhi, Prof. Anna Tibaijuka amesema afya za Mamilioni ya Waafrika na Watanzania zipo hatarini kutokana na uamuzi wa Rais wa Marekani Donald Trump kusitisha misaada kwa Mashirika ya Afya Duniani hususani PEPFAR na GLOBAL FUND ambapo amesema uamuzi huo ukitekelezwa ni kiama.
Kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), Prof. Tibaijuka amesema “Upatikanaji wa madawa ya kuongeza kinga za mwili ARVs utaathirika, ninashauri Wizara ya Afya kuufahamisha umma wa Watanzania je ni hatua gani za haraka zinachukuliwa kutathmini jambo hili na kuchukua hatua stahiki?, ikibidi African Union waitishe kikao maalum kuangalia suala hili na kuweka mkakati wa pamoja, Waathirika wa gonjwa hili la UKIMWI ni Waafrika na ugonjwa haujulikani ulitoka wapi?, tujitetee”
“Aidha juhudi za kuthibiti maambukizi ya virusi vya UKIMWI ziwekewe nguvu mpya, upatikanaji wa ARVs utakuwa mgumu na kununua ARVs kibiashara ni jambo litakalohitaji bajeti kubwa na uwezo wa taifa kwa ujumla ni mdogo na jambo limekuwa la ghafla, Waathirika wengi hawana uwezo kununua madawa hayo wenyewe maisha yao yote”
“Afya zao zikidhoofika itatumika gharama kubwa kuwauguza hivo kusababisha umaskini na vifo, pia bila ARVs maambukizi yatashika kasi mpya, tuwe macho”
Source: Millard Ayo
Toa maoni yako
Cha ajabu babu nayeye ngoma alimuondoa.Umenikumbusha miaka ya 2001 kulikuwa na mganga mmoja hivi maeneo ya tegeta anaitwa babu jamaa alikuwa anasema ana dawa ya ukimwi kapiga sana hela miaka hiyo dawa zake alikuwa akiwapa watu wanakauka kama kuni aisee Cc ephen_
Kabisa mkuu ila alipiga sana Hela za watu wa tegeta,bagamoyo,mwengeCha ajabu babu nayeye ngoma alimuondoa.
Nani kawaambia mlane kavu?Lengo lake ngozi nyeusi tusiwepo duniani abaki yeye na pua yake kama katuni
Acha kabisa ngoja tuoneHatarii hii
Mkuu ukimwi unaweza kuushinda wakat kila siku watu wanawaza ngono tena wanasema kavu ndio mzuri mbaya zaidi mwenge ukianza watu wananyanduana mpaka sehemu za siri zinaomba samahanNyie Kama mna rasilimali madini n.k mnaahindwa vipi kupunguza gharama za uendeshaji Kwa kujibana na kuwekeza katika Afya.
Trump anaweza akawa hayupo sahihi Ila msipende mambo ya bure lazima mjifunze kujitegemea.
Mpaka sasa mngekuwa serious mgekuwa mmeshaishinda vita ya ukimwi hata kwa asilimia kadhaa.
Taarifa mkuuNani kawaambia mlane kavu?
Shida yetu waafrica au ngozi nyeusi kiujumla hatupendi kuwa responsible kwa makosa au maamuzi yetu bali hutafuta mtu wa kumtupia lawama.
Kingine ngozi nyeusi tunajiona tunastahilu misaada, msaada sio haki yako ujue
Mafua au sioMimi niliona hili na nikawaonya watu,baada ya watu kusema kuwa sasa ngoma ni kama mafua tu, nikasema kwasababu sisi Waafrika ndio tunaongoza kuwa na wagonjwa wengi iko siku atatokea Racist mmoja huko....
As I said.Taarifa mkuu
Sina ukimwi pili sio limbukeni wa chupi
Naendelea nahoja shida ni socialization iliyo fanyika tangu nchi za afrika zinapewa au kupata uhuru hakukuwa na maandalizi na pia hakukuwa na uwezeshaji wa watu kujifunza zaidi katika kutengeneza madawa leo hii wangetoa fursa viwanda vikubwa vya dawa vinjengewe afrika na kuwapa fursa nyingine now afrika wangekuwa na kiburi jiulize mafuta afrika yapo ila yanapatika kiwepesi?
Acha tu yaani nimeanza kupata mawazo Sasa 😁Hii inaitwa nyuma geuka🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa twins watasomaje jamaniii
Kwake pale alikuwa anajaza machupa ya maji anadai yanabaraka ya kuponya ngoma.Kabisa mkuu ila alipiga sana Hela za watu wa tegeta,bagamoyo,mwenge
Kwasasa msaada kwetu ni lazima maana utajir wao unatokana na mali zety hawana dhaahabu kuleAs I said.
Bado unatupa lawama kwingine.
Nina mdogo wangu anafanya kazi huko ninamuona anavohahaAngestopisha misada inayohusisha cash abaki na ya non cash
MDH watalia