TANZIA Profesa Tolly Mbwette afariki dunia

How old was he?
 
R.I.P PROF. hakika kila nafsi ni yenye kuonja umauti
 
Ila mwamba naye alizingua sana akiwa OUT
Kwa kuwa kwa mila za kwetu marehemu hasemwi pumzika professory
 
R.I.P. Vimbwete, hapo najiendea Daruso ninanunua chips kavu natulia zangu kwenye kimbwete. Asante ulivyokwenda Sweden ukaona then ukaja ukaweka project yako ya vimbwete. Jina lako litabaki vizazi na vizazi.
 
Proff mashuhuli amefariki uzi hautembei kabisa ume-stuck...
juzi amefariki mke wa Tale uzi ulikuwa unakimbia speed 120.......
sijui tatizo liko wp!?
Social media wengi ni vilaza watamjualia wapi Prof ?Ma star wengi ni vilaza na maisha yao feki wanawadanganya vilaza wenzao ndo maana wanakuwa popular. Social media zimewapa plate-forme hata vilaza,idiots.
 
UDSM ni kitovu cha kuwakomboa watanzania kielimu, alale mahali peponi, profesa.
 
Mungu anempenda zaidi sisi makamanda tukifa yunazikwa na mabuti na kofia kutokama na nature ya kazi yetu uyo nae kwa kuwa ni msomi wamzike na vyeti vyake vyote.....
 
Mwisho wake umefika amelala akingoja marejeo ya Kristo mara ya pili ambapo ni mambo mawili tu kupata uzima wa milele au mauti ya milele, Bwana atupe hekima tulio hai kuzihesabu siku zetu
mauti ya milele inakuaje hiyo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…