TANZIA Profesa Tolly Mbwette afariki dunia

Dogo acha kuhangaika namimi, hii serikali ya kigaidi inaua watu kupitia covid-19. Imeamua kuwatoa sadaka raia wake kwa UROHO WA MADARAKA.
 
Umeandika mavi mavi tu hapa. Una akili ndogo sana wewe, hivi unadhani hali ya maambukizi iliyopo kwenye nchi jirani ni tofauti na hapa? Jinga we.
 
Jamani ni vimbweta sio vimbwete.

Well, atakumbukwa kwa suala la utafiti wake wa chupa za maji, ambao kimsingi ni kweli zinahatarisha uhai. Nakumbuka ilikua kwenye mwaka 2012 au 2013 kama sijakosea. Apumzike!
Wahaya wana akili Sana,mbona unavuruga? Vimbwete na mwenye jina ndo huyo prof.Mbwete.
 
Ninye Go umenena vyema.
 
Wahaya wana akili Sana,mbona unavuruga? Vimbwete na mwenye jina ndo huyo prof.Mbwete.
Hahahaha! Nimekua nasikia w/funzi wa vyuo wanaviita "vimbweta". Ila umenifanya nifanye perusal na kugundua ni wanafunzi walifanya kutohoa kutoka kimbwete kwenda kimbweta.

Prof. namfahamu kwa kazi zake na kama mwanajukwaa wa Yahoo group la Wanazuoni. Apumzike kwa amani.

Ubarikiwe!
 
Umeandika mavi mavi tu hapa. Una akili ndogo sana wewe, hivi unadhani hali ya maambukizi iliyopo kwenye nchi jirani ni tofauti na hapa? Jinga we.
This is a language of a deranged person
 
Nami namtakia RIP prof.
 
This is a language of a deranged person
Siku nyingine usijaribu kabisa kujiingiza kwenye jambo usilo na uhakika nalo, ambalo unashabikia tu na kutukuza kwa sababu umepewa elfu saba na simu ya smartphone kwa kazi hiyo. Sawa sawa?
 
Mazishi ya Prof Mbwette yanaendelea hivi sasa kijijini Irambo Mbeya.
 
Prof. Chachage Seity Chachage.Nimekutana na mjukuu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…