Profesa wa literature aitahadharisha CCM kuhusu nguvu ya CHADEMA

Nilishangaa Mkumbo anaukosoa
Mtu akihamia ccm hata angekua msomi vipi huaga anakua takataka tu; huwezi kutofautisha maoni ya msomi na asie soma; tena sometimes bora niwasikilize darasa la 7 wa ccm kuliko profesa au doctor from that chama, pumba tupu tu. Jumanne Kishimba, Joseph Kasheku Msukuma they are far better than professors on that party. Sijui huaga wanafanyiwa nini baada ya ku join kule, nasubiri siku David Kafulila nae akichaguliwa nafasi nyingine ya kisiasa jinsi atakavyo kua. Halafu eti watu wale ndio kabisaa tunawategemea kututoa hapa. Wametengeneza syllabus mpya ya elimu LAKINI watoto wao wenyewe hawawapeleki kwenye shule hizo, ina huzunisha. Kwamba walicho kitengeneza wenyewe, hawakitaki lakini wanatulazimisha wananchi tukiamini, interesting
 
Maoni yake kila mmoja anao huru wa kuandika hakuna jipya!
 
Nadhani ukishakuwa ccm hata akili zinatepeta
Naonaga tu vitabu twake ambavyo vinastahili kutungwa na mtu wa form six. Not worth of a professor..... Ukimsoma Franz Fanon na hizo sungura na fisi ndio utawajua tofauti zao, au hata Haroub Othman

Mimi chadema
 
Bila katiba mpya upinzani kushinda si rahisi yaani kuna wizi wa kura wa kutisha aliyefanikiwa kusimamia uchaguzi serikali za mitaa ataungana na mm
Haukuwa uchaguzi bali uchafuzi kwa gharama kubwa
 
Kama kuna kitu cdm wamenikosha na watanzania wengi ni jinsi walivyoendesha wao, ukaisha kwa amani na mshindi kupatikana kwa njia halali. Hakuna kitu kimewauma ccm kwa jinsi mchakato ule ulivyokuwa wa viwango, uwazi na haki.
 
Hakuna kitu kimewauma ccm kwa jinsi mchakato ule ulivyokuwa wa viwango, uwazi na haki.πŸ’ͺπŸΏπŸ˜‚
 
Kitabu cha kusimulia sungura anavyokimbizana na fisi nacho ni kitabu?

Amejaza mandevu ku-justify uprofesa
kwa kweli yeye na Yericko wako sawa tu, ndio maana Lissu anawaitaga profesorial rubbish, Mungu umenitoa jalalani...
 
Naonaga tu vitabu twake ambavyo vinastahili kutungwa na mtu wa form six. Not worth of a professor..... Ukimsoma Franz Fanon na hizo sungura na fisi ndio utawajua tofauti zao, au hata Haroub Othman

Mimi chadema
Vitabu vya watoto hata vikaragozi ni taaluma kubwa yenye kuhitaji weledi na elimu ya kutosha.. Wee unadhani watu wanajiandikia tuu.. Jaribu uone
 
asiwaadae wanachadema kwa kumpaka mafuta lisu kwa mgongo wa chupa
 
kwa kweli yeye na Yericko wako sawa tu, ndio maana Lissu anawaitaga profesorial rubbish, Mungu umenitoa jalalani...
Huyu Prof Mbele alisomea kwenye vyuo vya marekani ambavyo ni bure kabisa, sawa na shule za Dk Kadeghe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…