Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Taarifa mpya inaonyesha kwamba huko Arusha tayari Watu wa mataifa mbali mbali wameanza kuwasili, kwa lengo la kumpokea Nabii wa Mungu, Godbless Lema, anayewasili kesho kutokea Canada, Nchi aliyokimbilia baada ya kukwepa mtego wa kuuawa na wakubwa nchini Tanzania, baada ya kile kilichoitwa Uchaguzi Mkuu wa 2020.
Mmoja wa Wageni watarajiwa ambaye tayari amewasili anaitwa Profesa George Luchiri Wajackoyah kutoka Jamhuri ya watu wa Kenya, huyu aligombea Urais wa Kenya mwaka 2022.
Mh Wajackoyah amepokelewa na Viongozi wa Kanda ya Kaskazini wakiongozwa na Katibu wa Kanda hiyo Amani Golugwa.