Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usanii mtupu. Lema ndio wakupokewa na nani? Ndio maana inabidi mamluki wakodiwe kutoka nchi jirani.Taarifa mpya inaonyesha kwamba huko Arusha tayari Watu wa mataifa mbali mbali wameanza kuwasili , kwa lengo la kumpokea Nabii wa Mungu, Godbless Lema, anayewasili kesho kutokea Canada, Nchi aliyokimbilia baada ya kukwepa mtego wa kuuawa na wakubwa nchini Tanzania, baada ya kile kilichoitwa Uchaguzi Mkuu wa 2020.
Mmoja wa Wageni watarajiwa ambaye tayari amewasili anaitwa Profesa George Luchiri Wajackoyah kutoka Jamhuri ya watu wa Kenya, huyu aligombea Urais wa Kenya mwaka 2022.
Mh Wajackoyah amepokelewa na Viongozi wa Kanda ya Kaskazini wakiongozwa na Katibu wa Kanda hiyo Amani Golugwa
View attachment 2532488View attachment 2532489View attachment 2532490
Duh! Kalipa shilingi 6000 za kisusio? Ni sawa na shilingi 400 za Kenya. Je, atakuwa anamwakilisha nini Kabila za Kenya? Na County zao? Je, atakaa jukwaa kuu atalipa hela kuu? Karibu Prof.Taarifa mpya inaonyesha kwamba huko Arusha tayari Watu wa mataifa mbali mbali wameanza kuwasili , kwa lengo la kumpokea Nabii wa Mungu, Godbless Lema, anayewasili kesho kutokea Canada, Nchi aliyokimbilia baada ya kukwepa mtego wa kuuawa na wakubwa nchini Tanzania, baada ya kile kilichoitwa Uchaguzi Mkuu wa 2020.