Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Sasa! Kwani Kenya ni mkoa wa TZ? Mmesomea nini?Kenya mpaka Arusha ni nchi za nje sio
Hutaki unaachaKenya mpaka Arusha ni nchi za nje sio
Haijaja bangi , amekuja WajackoyahMaoni ya mbunge wa CCM Si maoni ya chama ndomana amepuuzwa,
CDM pia wampuuze huyo mgeni na Lema aliyemkaribisha.
Maana Arusha na atokapo wajakoya ni KARIBU, yaezakuwa wameanza kuvuta bangi pamoja kitambo.
MARUFUKU ktk Nchi yangu TANZANIA kujitafutia pesa za haraka Kwa kuharibu ufahamu wa watu Kwa Moshi wa bangi.
Moshi huo umeharibu sana Tarime Hadi kulazimika kuweka Kanda maalum.
Ndo muwakilishi wa chamba cha ganjaa,ulitaka ije bangi auHaijaja bangi , amekuja Wajackoyah
Uli nkafu kukanwaHutaki unaacha
Ok, hakikisheni anaambiwa Kwa kipindi chote atakachokaa huku ajue BANGI ni MARUFUKU.Haijaja bangi , amekuja Wajackoyah
UjingaSasa! Kwani Kenya ni mkoa wa TZ? Mmesomea nini?
NdagaUli nkafu kukanwa
Karibu sana shujaa Lema!Taarifa mpya inaonyesha kwamba huko Arusha tayari Watu wa mataifa mbali mbali wameanza kuwasili , kwa lengo la kumpokea Nabii wa Mungu , Godbless Lema , anayewasili kesho kutokea Canada , Nchi aliyokimbilia baada ya kukwepa mtego wa kuuawa na wakubwa nchini Tanzania , baada ya kile kilichoitwa Uchaguzi Mkuu wa 2020 .
Mmoja wa Wageni watarajiwa ambaye tayari amewasili anaitwa Profesa George Luchiri Wajackoyah kutoka Jamhuri ya watu wa Kenya , huyu aligombea Urais wa Kenya mwaka 2022 .
Mh Wajackoyah amepokelewa na Viongozi wa Kanda ya Kaskazini wakiongozwa na Katibu wa Kanda hiyo Amani Golugwa
View attachment 2532488View attachment 2532489View attachment 2532490
Unaenda kinyume na kiongozi wako marehemu aliwahi kusema ikibidi mawaziri wavute bangi kuchapa kazi.Huyo muhamasisha bangi anaharibu image ya CDM,
Bangi Bangi tu.