Profesa Wajackoyah awa mtu wa kwanza kutoka nchi za kigeni kuwasili Arusha kumpokea Lema

Unaenda kinyume na kiongozi wako marehemu aliwahi kusema ikibidi mawaziri wavute bangi kuchapa kazi.
Sina kiongozi marehemu,

Mimi ni mwana wa Mfalme aliye HAI,

Yesu KRISTO, Mungu mkuu, MTAKATIFU.

Amen.
 
Hao ndiyo maprofesa siyo ile design ya wale wa majalalani
 
Huyo muhamasisha bangi anaharibu image ya CDM,

Bangi Bangi tu.
Swaziland inapata almost 20%ya GNP kupitia bangi!,Tanzania endeleeni kulala, ndio maana India &Kenya wana lead to export tanzanite!!duniani
 
Swaziland inapata almost 20%ya GNP kupitia bangi!,Tanzania endeleeni kulala, ndio maana India &Kenya wana lead to export tanzanite!!duniani
Nimesema ni MARUFUKU bangi kuhalalishwa kwenye Nchi yangu TANZANIA,

Ukiambiwa umpe tajiri mkeo akupe billions of money utakubali sababu ni biashara inayolipa?
 
Mwamba huyu hapa
Your browser is not able to display this video.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Attachments

  • IMG_20230215_210109_703.jpg
    46.1 KB · Views: 3
Nimesema ni MARUFUKU bangi kuhalalishwa kwenye Nchi yangu TANZANIA,

Ukiambiwa umpe tajiri mkeo akupe billions of money utakubali sababu ni biashara inayolipa?
Nami kwenye nchi yangu Tanzania, bangi ihalalishwe na ilimwe kitaalamu ili tuweze to export ili tuongezee $$$
 
Bora wangemualika Nuru OKANGA, huyo mvuta bange ataharibu maadili ya nchi kwani hotuba zake ni matusi matupu na ku promote hilo Jani pori aina ya bangi
 
Jasusi hilo
 
Bora wangemualika Nuru OKANGA, huyo mvuta bange ataharibu maadili ya nchi kwani hotuba zake ni matusi matupu na ku promote hilo Jani pori aina ya bangi
Hivi unafahamu kwamba Tanzania ni miongoni mwa nchi vinara wa kuvuta bangi ?
 
Nami kwenye nchi yangu Tanzania, bangi ihalalishwe na ilimwe kitaalamu ili tuweze to export ili tuongezee $$$
Nchi hii hutomsikia jambo Hilo likitokea.

Hili ni TAIFA la AGANO,

Ukiona hayo yameruhusiwa juu ya nchi, Mungu asipoipiga Nchi Kwa mapigo, viongozi watakiona Cha mtema Kuni.
 
Sina kiongozi marehemu,

Mimi ni mwana wa Mfalme aliye HAI,

Yesu KRISTO, Mungu mkuu, MTAKATIFU.

Amen.
Daah yesu kristo halafu ni Mungu mkuu halafu ni mfalme aliye hai halafu ni mtakatifu.
 
Daah yesu kristo halafu ni Mungu mkuu halafu ni mfalme aliye hai halafu ni mtakatifu.
Sijakosea hata nukta, ndivyo ilivyo.

Ukitumia akili za kibinadamu kamwe huwezi elewa nilichoandika.
 
Nchi hii hutomsikia jambo Hilo likitokea.

Hili ni TAIFA la AGANO,

Ukiona hayo yameruhusiwa juu ya nchi, Mungu asipoipiga Nchi Kwa mapigo, viongozi watakiona Cha mtema Kuni.
Ameen
 
WANAUME WANARUDI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…