Profesa Wajackoyah awa mtu wa kwanza kutoka nchi za kigeni kuwasili Arusha kumpokea Lema

Usanii mtupu. Lema ndio wakupokewa na nani? Ndio maana inabidi mamluki wakodiwe kutoka nchi jirani.
Hii kitu I hope mama ameruhusu tu kwa show kwa hao mabeberu kwa kua anapenda misaada ya nje. Si muda mrefu tutaanza kuona vurugu tu na serikali ya mama kupoteza wakati na nguvu kwa mambo hayahusiani na maendeleo ya nchi.
 
Duh! Kalipa shilingi 6000 za kisusio? Ni sawa na shilingi 400 za Kenya. Je, atakuwa anamwakilisha nini Kabila za Kenya? Na County zao? Je, atakaa jukwaa kuu atalipa hela kuu? Karibu Prof.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…