Professa Palamagamba Aidan Kabudi mwalimu wa Tundu Lissu mwaka wa kwanza sheria, atasimama mahakamani kumwakilisha CP Awadh dhidi ya vibaraka

Kabudi siasa zimeisha mharibu ,uzee pia ,hatafua dafu, by the way to be Prof doesn't mean you know every thing.

Ni kabudi huyu ambae amekua kwenye wadhifa huu kipindi cha mwenda zake , na ona alivyompeleka chaka ,daily taifa linashitakiwa na kulipa mabilion kWa kushindwa makesi .
 
Waziri akasimamie kesi!!!!
Ndoto kama nyingine..
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
AG hakua Chenge alikua George Masaju, ilikua hivi.
Speaker anamuuliza AG kuhusu huo utaratibu na mapendekezo, AG anajibu nakubaliana na mapendekezo ya Mh Andrew Chenge kama yalivyo lakini ya Mh tundu lissu sikubaliani nayo.
Speaker anamuita Mh Chenge tena, Chenge anakuja tena kutoa Clarification anakubaliana na mapendekezo ya Mh Tundu kama yalivyo. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Bunge Zima ni kicheko tu na makofi.
Yule Masaju tulipigwa hakukua na AG pale.
 
Ni fedheha post kama hii kuonekana JF.
 
Ukikua utaacha
 
Kweli Usomi na Hekima ni vitu 2tofauti,hizi ni pumba za msomi,Usingesoma duuh hatari!
 
Awadh anafunguliwa kesi ya binafsi ambayo haimuhusu CP Awadh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…