Professa Palamagamba Aidan Kabudi mwalimu wa Tundu Lissu mwaka wa kwanza sheria, atasimama mahakamani kumwakilisha CP Awadh dhidi ya vibaraka

Pale Chuo Kikuu cha Dar es salaam ukienda jina la msomi huyu nguli kabisa wa sheria, anayejua Kiswahili, Kijerumani, Kiingereza na Historia ndio imelala kabisa kichwani, yaani Precedents kwake hata umuamshe asubuhi Kabudi anajua.

Prof Kabudi Waziri wa Sheria na Katiba amesikia kwenye mitandao ya kijamii kuwa Tundu anataka kuwafikisha mahakamani akina CP Awadh Haji na naibu msajili wa vyama vya siasa eti kwa Battery and Assault.

Lissu anadai kuna infringements of his legal rights kwahiyo anakwenda kufungua Tort pale mahakamani ili alipwe specific and general damages.

Lissu anadaiwa atakuwa na jopo la wanasheria 100 kudai haki yake ya kupigwa bila sababu zozote zile.

Lakini amesahau kuwa yeye na wenzake wote na majaji pia wamepita mikononi mwa Prof Kabudi, huwezi kuwa mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam kama mtihani wako haujasahihishwa na Prof.Kabudi.

Huko mahakamani hata mjae mawakili 1000 mkiongozwa na Mwabukusi tutamuomba Profesa Kabudi licha ya kuwa kwa sasa ni Waziri lakini nna uhakika defences za kutosha anazo katika suala hilo.

Nna uhakika Lissu akimuona Prof Kabudi tu pale viwanja vya mahakama ataomba poo mwenyewe maana bingwa huyo wa sheria Prof Kabudi hana papara, hana wasiwasi, anacheka tu akishirikiana na mwanasimba mwenzangu Hamza Johari.

Achaneni na kesi shauri yenu.
Kabudi siasa zimeisha mharibu ,uzee pia ,hatafua dafu, by the way to be Prof doesn't mean you know every thing.

Ni kabudi huyu ambae amekua kwenye wadhifa huu kipindi cha mwenda zake , na ona alivyompeleka chaka ,daily taifa linashitakiwa na kulipa mabilion kWa kushindwa makesi .
 
Pale Chuo Kikuu cha Dar es salaam ukienda jina la msomi huyu nguli kabisa wa sheria, anayejua Kiswahili, Kijerumani, Kiingereza na Historia ndio imelala kabisa kichwani, yaani Precedents kwake hata umuamshe asubuhi Kabudi anajua.

Prof Kabudi Waziri wa Sheria na Katiba amesikia kwenye mitandao ya kijamii kuwa Tundu anataka kuwafikisha mahakamani akina CP Awadh Haji na naibu msajili wa vyama vya siasa eti kwa Battery and Assault.

Lissu anadai kuna infringements of his legal rights kwahiyo anakwenda kufungua Tort pale mahakamani ili alipwe specific and general damages.

Lissu anadaiwa atakuwa na jopo la wanasheria 100 kudai haki yake ya kupigwa bila sababu zozote zile.

Lakini amesahau kuwa yeye na wenzake wote na majaji pia wamepita mikononi mwa Prof Kabudi, huwezi kuwa mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam kama mtihani wako haujasahihishwa na Prof.Kabudi.

Huko mahakamani hata mjae mawakili 1000 mkiongozwa na Mwabukusi tutamuomba Profesa Kabudi licha ya kuwa kwa sasa ni Waziri lakini nna uhakika defences za kutosha anazo katika suala hilo.

Nna uhakika Lissu akimuona Prof Kabudi tu pale viwanja vya mahakama ataomba poo mwenyewe maana bingwa huyo wa sheria Prof Kabudi hana papara, hana wasiwasi, anacheka tu akishirikiana na mwanasimba mwenzangu Hamza Johari.

Achaneni na kesi shauri yenu.
Waziri akasimamie kesi!!!!
Ndoto kama nyingine..
 
Lissu alikuwa analisimamisha bunge kwa kutoa elimu ya sheria hadi magwiji wa sheria kina Andrew Chenge kipindi hicho akiwa AG alikuwa anatulia kusikiliza madini ya Lissu.

Kufundishwa chuo na lecturer haina maana eti huwezi kuwa bora kuliko yeye, lahasha!

Kwenye sheria kwasasa hakuna anayeweza kupambana na Lissu ndiyo maana 2017 walishindwa kujibizana kwa hoja na Lissu wakaamua kumshambulia kwa makumi ya risasi.
😂😂😂😂
AG hakua Chenge alikua George Masaju, ilikua hivi.
Speaker anamuuliza AG kuhusu huo utaratibu na mapendekezo, AG anajibu nakubaliana na mapendekezo ya Mh Andrew Chenge kama yalivyo lakini ya Mh tundu lissu sikubaliani nayo.
Speaker anamuita Mh Chenge tena, Chenge anakuja tena kutoa Clarification anakubaliana na mapendekezo ya Mh Tundu kama yalivyo. 😂😂😂 Bunge Zima ni kicheko tu na makofi.
Yule Masaju tulipigwa hakukua na AG pale.
 
Pale Chuo Kikuu cha Dar es salaam ukienda jina la msomi huyu nguli kabisa wa sheria, anayejua Kiswahili, Kijerumani, Kiingereza na Historia ndio imelala kabisa kichwani, yaani Precedents kwake hata umuamshe asubuhi Kabudi anajua.

Prof Kabudi Waziri wa Sheria na Katiba amesikia kwenye mitandao ya kijamii kuwa Tundu anataka kuwafikisha mahakamani akina CP Awadh Haji na naibu msajili wa vyama vya siasa eti kwa Battery and Assault.

Lissu anadai kuna infringements of his legal rights kwahiyo anakwenda kufungua Tort pale mahakamani ili alipwe specific and general damages.

Lissu anadaiwa atakuwa na jopo la wanasheria 100 kudai haki yake ya kupigwa bila sababu zozote zile.

Lakini amesahau kuwa yeye na wenzake wote na majaji pia wamepita mikononi mwa Prof Kabudi, huwezi kuwa mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam kama mtihani wako haujasahihishwa na Prof.Kabudi.

Huko mahakamani hata mjae mawakili 1000 mkiongozwa na Mwabukusi tutamuomba Profesa Kabudi licha ya kuwa kwa sasa ni Waziri lakini nna uhakika defences za kutosha anazo katika suala hilo.

Nna uhakika Lissu akimuona Prof Kabudi tu pale viwanja vya mahakama ataomba poo mwenyewe maana bingwa huyo wa sheria Prof Kabudi hana papara, hana wasiwasi, anacheka tu akishirikiana na mwanasimba mwenzangu Hamza Johari.

Achaneni na kesi shauri yenu.
Ni fedheha post kama hii kuonekana JF.
 
Ukikua utaacha
 
Kweli Usomi na Hekima ni vitu 2tofauti,hizi ni pumba za msomi,Usingesoma duuh hatari!
 
Awadh anafunguliwa kesi ya binafsi ambayo haimuhusu CP Awadh.
 
Back
Top Bottom