Professa Palamagamba Aidan Kabudi mwalimu wa Tundu Lissu mwaka wa kwanza sheria, atasimama mahakamani kumwakilisha CP Awadh dhidi ya vibaraka

Mtoa mada ni mfano wa watanzania wengi. Wao wakishamkubali mtu aliye upande wao hata kwa kutoa macho tu wanaamini hakuna kinachomshinda kwenye taaluma yake, hata kama ni kumtetea shetani. Na wanaamini mwanafunzi hawezi kabisa kuelimika kumzidi mwalimu!
 
Lakini amesahau kuwa yeye na wenzake wote na majaji pia wamepita mikononi mwa Prof Kabudi, huwezi kuwa mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam kama mtihani wako haujasahihishwa na Prof.Kabudi.
Jiulize kwanza huyo Kabudi alikuwa akifundisha somo gani hapo chuoni.
Na waalimu wangapi wamepambana na wanafunzi wao mahakamani kuanzia kina Lamwai, Tenga, Mvungi, nk..
 
Dr Mwakyembe akiwa mwl wa sheria akiwa na PhD na LISSU akiwa na masters nakumbuka palitokea ubishani mkali kuhusu serikali mbili au tatu zinazofaa kuongoza Tanzania Mwakyembe alitepeta tena hoja nzito alizokuwa nazo LISSU zilitoka kwenye kitabu cha Mwakyembe kilichomwezesha kuchukua PhD

LISSU alichambua hoja na reference mojawapo ni kitabu cha Thesis ya Mwakyembe lakini cha ajabu PhD holder aliyoandikiwa za uso LISSU aliishia kupigiwa makofi hadi na Mwakyembe mwenyewe.

Kwahiyo uwezo wa LISSU ktk carrier yake ondoa Mungu, Mitume na malaika ila kwa hapa bongo ukitimba mahakamani LISSU awe upande wa haki halafu MADAMPO yote yaliyosoma sheria yanayotetea uovu wakutane nakuhakikishia watashikwa na matumbo ya kipindupindu huku wameng'oa macho.

LISSU ni kiumbe tofauti linapokuja suala la kutetea haki tena UKOME KUFANANISHA LISSU NA MAFINYOFINYO YA DAMPO PAMBAAAAF
 
Alipo kuwa amicus kwenye kesi ya mgombea Huru miaka ile ya mtikila ndipo nilipo anza kumuona hafai ktk kutetea wanachi…ni overrated sana, sheria ya kulinda maliasili za taifa zililetwa bungeni na yeye enzi za Magu- wakati huu wa sa100, hizi sheria zinakanyagwa, yeye hata kutia neno wapi- sasa wamemrudisha, aende kuleta zile habari za kishika uchumba Tena…
Na huyu Johari ni mweupe sana, muda utaongea tu…
 
Pale Chuo Kikuu cha Dar es salaam ukienda jina la msomi huyu nguli kabisa wa sheria, anayejua Kiswahili, Kijerumani, Kiingereza na Historia ndio imelala kabisa kichwani, yaani Precedents kwake hata umuamshe asubuhi Kabudi anajua...
Unamsifia sana kabud, lakin ndio huyo huyo akaleta vituko vya juice ya Madagascar, kachangia nchi kuingia kwenye mikataba ya hovyo and akawa chawa mpaka kufikia kumuita bindam Mungu

Huwnda kuwa amesoma but huku dunian he aimt shit, and watu wanakumbuka madudu yake so hamtish mtu
 
Usisahau huyu Lissu alimuita huyo mwalimu wake proffesorial rubbish huku mwenyewe akikimbia ukimbizini kukimbia kesi alizokua ameshitakiwa.

Proffesor Aidan Mwaluko wala huwezi kumlinganisha na Lissu. Lissu ni kishuguu mbele ya mlima Kilimanjaro. Majigambo ya lissu na kujiamini bure ndio kuna wanafikiri ana weledi sana kwenye sheria
Pale Chuo Kikuu cha Dar es salaam ukienda jina la msomi huyu nguli kabisa wa sheria, anayejua Kiswahili, Kijerumani, Kiingereza na Historia ndio imelala kabisa kichwani, yaani Precedents kwake hata umuamshe asubuhi Kabudi anajua.

Prof Kabudi Waziri wa Sheria na Katiba amesikia kwenye mitandao ya kijamii kuwa Tundu anataka kuwafikisha mahakamani akina CP Awadh Haji na naibu msajili wa vyama vya siasa eti kwa Battery and Assault.

Lissu anadai kuna infringements of his legal rights kwahiyo anakwenda kufungua Tort pale mahakamani ili alipwe specific and general damages.

Lissu anadaiwa atakuwa na jopo la wanasheria 100 kudai haki yake ya kupigwa bila sababu zozote zile.

Lakini amesahau kuwa yeye na wenzake wote na majaji pia wamepita mikononi mwa Prof Kabudi, huwezi kuwa mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam kama mtihani wako haujasahihishwa na Prof.Kabudi.

Huko mahakamani hata mjae mawakili 1000 mkiongozwa na Mwabukusi tutamuomba Profesa Kabudi licha ya kuwa kwa sasa ni Waziri lakini nna uhakika defences za kutosha anazo katika suala hilo.

Nna uhakika Lissu akimuona Prof Kabudi tu pale viwanja vya mahakama ataomba poo mwenyewe maana bingwa huyo wa sheria Prof Kabudi hana papara, hana wasiwasi, anacheka tu akishirikiana na mwanasimba mwenzangu Hamza Johari.

Achaneni na kesi shauri yenu.

Hata mm nisiyejua Sheria Kwa kesi hii Kabudi hanishindi. Hata wewe unaongea tu ila mazingira unayajua. Wamechemka sana. Huwezi kukamata mtu uwanja wa ndege eti umpeleke mahakamani ushinde labda umkamate na madawa
 
Pale Chuo Kikuu cha Dar es salaam ukienda jina la msomi huyu nguli kabisa wa sheria, anayejua Kiswahili, Kijerumani, Kiingereza na Historia ndio imelala kabisa kichwani, yaani Precedents kwake hata umuamshe asubuhi Kabudi anajua.

Prof Kabudi Waziri wa Sheria na Katiba amesikia kwenye mitandao ya kijamii kuwa Tundu anataka kuwafikisha mahakamani akina CP Awadh Haji na naibu msajili wa vyama vya siasa eti kwa Battery and Assault.

Lissu anadai kuna infringements of his legal rights kwahiyo anakwenda kufungua Tort pale mahakamani ili alipwe specific and general damages.

Lissu anadaiwa atakuwa na jopo la wanasheria 100 kudai haki yake ya kupigwa bila sababu zozote zile.

Lakini amesahau kuwa yeye na wenzake wote na majaji pia wamepita mikononi mwa Prof Kabudi, huwezi kuwa mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam kama mtihani wako haujasahihishwa na Prof.Kabudi.

Huko mahakamani hata mjae mawakili 1000 mkiongozwa na Mwabukusi tutamuomba Profesa Kabudi licha ya kuwa kwa sasa ni Waziri lakini nna uhakika defences za kutosha anazo katika suala hilo.

Nna uhakika Lissu akimuona Prof Kabudi tu pale viwanja vya mahakama ataomba poo mwenyewe maana bingwa huyo wa sheria Prof Kabudi hana papara, hana wasiwasi, anacheka tu akishirikiana na mwanasimba mwenzangu Hamza Johari.

Achaneni na kesi shauri yenu.
Kabudi umewahi kumuona Mahakamani? Kwanza uwakili amepata juzijuzi tu walikuwa wanakula kichwa kila akipeleka petition huyo amekariri mavitu yake anayofundisha chuo lakini hajawahi kutia mguu mahakamani.
Ukitaka kuona anavyogaragazwa ajichanganye mahakamani. The art of litigation sio nadharia za kukariri madesa kule unakutana na junior na anakuvuruga mbaya.
Muulize profesa Mruma alikutana na vijana wadogo kule Marekani akagalagazwa na leo tunalipa fisia ya zaidi ya 126million USD. Kabudi hajawahi kukanyaga mahakamani
 
Usomi Si kitu,

Inategemea umesimama upande wa Haki au upande ovu,

Spika Tulia na usomi wake, ameshindwa jua kuwa wabunge wasio na chama hawaruhusiwi bungeni, ila Yeye kawakumbatia.

Ni hayo tu.
Hotuba fupi ya Jaji Mkuu wakati WA uapisho WA Johari na wengineo inaeleza vizuri, watu wanavyoshindwa kujua wajibu wao.
 
Pale Chuo Kikuu cha Dar es salaam ukienda jina la msomi huyu nguli kabisa wa sheria, anayejua Kiswahili, Kijerumani, Kiingereza na Historia ndio imelala kabisa kichwani, yaani Precedents kwake hata umuamshe asubuhi Kabudi anajua.

Prof Kabudi Waziri wa Sheria na Katiba amesikia kwenye mitandao ya kijamii kuwa Tundu anataka kuwafikisha mahakamani akina CP Awadh Haji na naibu msajili wa vyama vya siasa eti kwa Battery and Assault.

Lissu anadai kuna infringements of his legal rights kwahiyo anakwenda kufungua Tort pale mahakamani ili alipwe specific and general damages.

Lissu anadaiwa atakuwa na jopo la wanasheria 100 kudai haki yake ya kupigwa bila sababu zozote zile.

Lakini amesahau kuwa yeye na wenzake wote na majaji pia wamepita mikononi mwa Prof Kabudi, huwezi kuwa mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam kama mtihani wako haujasahihishwa na Prof.Kabudi.

Huko mahakamani hata mjae mawakili 1000 mkiongozwa na Mwabukusi tutamuomba Profesa Kabudi licha ya kuwa kwa sasa ni Waziri lakini nna uhakika defences za kutosha anazo katika suala hilo.

Nna uhakika Lissu akimuona Prof Kabudi tu pale viwanja vya mahakama ataomba poo mwenyewe maana bingwa huyo wa sheria Prof Kabudi hana papara, hana wasiwasi, anacheka tu akishirikiana na mwanasimba mwenzangu Hamza Johari.

Achaneni na kesi shauri yenu.
Kwa hiyo, mtumishi wa serikali mwenye uwezo wa kujilipia gharama za kesi yake akishtakiwa kama individual, serikali ndiyo huwa inamtafutia wakili? Maana nilisikia Chadema walisema watashtaki wao kama wao na si kwa vyeo vyao. Pili, katika mazingira ya kawaida, mahakamani jambo muhimu ni ushahidi wenye uzito na si nani anamtetea nani.
 
Pale Chuo Kikuu cha Dar es salaam ukienda jina la msomi huyu nguli kabisa wa sheria, anayejua Kiswahili, Kijerumani, Kiingereza na Historia ndio imelala kabisa kichwani, yaani Precedents kwake hata umuamshe asubuhi Kabudi anajua.

Prof Kabudi Waziri wa Sheria na Katiba amesikia kwenye mitandao ya kijamii kuwa Tundu anataka kuwafikisha mahakamani akina CP Awadh Haji na naibu msajili wa vyama vya siasa eti kwa Battery and Assault.

Lissu anadai kuna infringements of his legal rights kwahiyo anakwenda kufungua Tort pale mahakamani ili alipwe specific and general damages.

Lissu anadaiwa atakuwa na jopo la wanasheria 100 kudai haki yake ya kupigwa bila sababu zozote zile.

Lakini amesahau kuwa yeye na wenzake wote na majaji pia wamepita mikononi mwa Prof Kabudi, huwezi kuwa mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam kama mtihani wako haujasahihishwa na Prof.Kabudi.

Huko mahakamani hata mjae mawakili 1000 mkiongozwa na Mwabukusi tutamuomba Profesa Kabudi licha ya kuwa kwa sasa ni Waziri lakini nna uhakika defences za kutosha anazo katika suala hilo.

Nna uhakika Lissu akimuona Prof Kabudi tu pale viwanja vya mahakama ataomba poo mwenyewe maana bingwa huyo wa sheria Prof Kabudi hana papara, hana wasiwasi, anacheka tu akishirikiana na mwanasimba mwenzangu Hamza Johari.

Achaneni na kesi shauri yenu.
Umeandika ujinga mwingi sana kama ule unaoandika kule jukwaa la michezo. Umekidhalilisha hata chuo chako SAUTI unachotambia siku zote.
 
Pale Chuo Kikuu cha Dar es salaam ukienda jina la msomi huyu nguli kabisa wa sheria, anayejua Kiswahili, Kijerumani, Kiingereza na Historia ndio imelala kabisa kichwani, yaani Precedents kwake hata umuamshe asubuhi Kabudi anajua.

Prof Kabudi Waziri wa Sheria na Katiba amesikia kwenye mitandao ya kijamii kuwa Tundu anataka kuwafikisha mahakamani akina CP Awadh Haji na naibu msajili wa vyama vya siasa eti kwa Battery and Assault.

Lissu anadai kuna infringements of his legal rights kwahiyo anakwenda kufungua Tort pale mahakamani ili alipwe specific and general damages.

Lissu anadaiwa atakuwa na jopo la wanasheria 100 kudai haki yake ya kupigwa bila sababu zozote zile.

Lakini amesahau kuwa yeye na wenzake wote na majaji pia wamepita mikononi mwa Prof Kabudi, huwezi kuwa mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam kama mtihani wako haujasahihishwa na Prof.Kabudi.

Huko mahakamani hata mjae mawakili 1000 mkiongozwa na Mwabukusi tutamuomba Profesa Kabudi licha ya kuwa kwa sasa ni Waziri lakini nna uhakika defences za kutosha anazo katika suala hilo.

Nna uhakika Lissu akimuona Prof Kabudi tu pale viwanja vya mahakama ataomba poo mwenyewe maana bingwa huyo wa sheria Prof Kabudi hana papara, hana wasiwasi, anacheka tu akishirikiana na mwanasimba mwenzangu Hamza Johari.

Achaneni na kesi shauri yenu.
Haya basi sawa vaa chupi yako uende!
 
Badala ueleze kuhusu kesi,umejaza "eti...eti" na kusifia wanaume.Stupid!
 
Back
Top Bottom