OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wewe unajua ana miaka mingapi ?Miaka 26 bado???? AFRIKA TUTAACHA LINI KUDANGANYA UMRI..???
Tumwogope mungu jaman..af leo eid. Okwi 26?[emoji1] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16] eti miaka 26 mleta uzi simamisha gari nishuke
Hawana tofauti na Wema Sepenga.umri wa Okwi huwa hauongezeki!
Kuoa ni kipimo cha umri?[emoji3][emoji3]Wewe unajua ana miaka mingapi ?
Ivi Okwi ni mkubwa kuliko Kamusoko?
au Yondani au Zulu Mkataumeme au Kanavaro au Bissou, au Tambwe ?
Okwi kaoa mwaka juzi tu na ndoa yake ilionekana kwa wapenda soka wote
Lete umri wao na wake tuone nani mkubwa zaidi.
Hans popo atazifatilia tutapewa point zetu na kombe letu-ukitaka vichekesho vingi kama hivi bonyeza mikia fcZile points zetu za FIFA tutapewa lini?
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Hili ndo jibu la rufaa ya Simba toka FIFA? Wabongo bwana rahisi kuwanyamazisha kama mtoto mdogo kwa pipi [emoji40] [emoji40] [emoji40]Mganda Okwi mwenye umri wa miaka 26 amesani Simba SC kandarasi ya miaka miwili jana, taarifa zinadokeza hivyo.
Okwi ambaye yupo kwenye kikosi cha kwanza timu ya Taifa ya Uganda kama mshambuliaji, amemshukuru Mohamed Dewji kwa kusimama kidete kuhakikisha anafanikisha dili hilo.
Okwi amewaahidi mashabiki wa Simba kuwa wasubiri kazi nzito toka kwake, na amewashukuru kwa kumuamini
Jibu ni Okwiiiiii.Zile points zetu za FIFA tutapewa lini?
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app