Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kuoa juzi ndo ina maanisha mdogo kiumri? Hivi le mutuz naye akiamua kuoa sasa atakuwa mdogo kiumri?Wewe unajua ana miaka mingapi ?
Ivi Okwi ni mkubwa kuliko Kamusoko?
au Yondani au Zulu Mkataumeme au Kanavaro au Bissou, au Tambwe ?
Okwi kaoa mwaka juzi tu na ndoa yake ilionekana kwa wapenda soka wote
Lete umri wao na wake tuone nani mkubwa zaidi.
Kunywa sumuMbumbumbu fc
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16] eti miaka 26 mleta uzi simamisha gari nishuke
Mitandao haipigi kura wewe popoma. Unajisumbua bure.Nani anafaa kuwa Rais wa TFF? - Poll on StrawPoll.com bofya link kupiga kura
Taribo West alipunguza miaka 25.Emmanuel Arnold Okwi (born 25 December 1992) is a Ugandan professional football player who plays as a striker for the Uganda national football team. He played football as a boy while at St. Henry's College Kitovu. In July 2015, he signed a five-year contract with the Danish Supaliga club, SønderjyskE Fodbold
Kuoa sio ndo kigezo cha kuwa naWewe unajua ana miaka mingapi ?
Ivi Okwi ni mkubwa kuliko Kamusoko?
au Yondani au Zulu Mkataumeme au Kanavaro au Bissou, au Tambwe ?
Okwi kaoa mwaka juzi tu na ndoa yake ilionekana kwa wapenda soka wote
Lete umri wao na wake tuone nani mkubwa zaidi.
Mpumbavu eeh sasa kuoa mwaka jana ndio iwe sababu ya umri mdogo...??? Smalling kaoa lini??? Khaa.. KAMUSOKO MKUBWA NA INAJULIKANA HIVYO.. OKWI HAPUNGUI MIAKA 30....Wewe unajua ana miaka mingapi ?
Ivi Okwi ni mkubwa kuliko Kamusoko?
au Yondani au Zulu Mkataumeme au Kanavaro au Bissou, au Tambwe ?
Okwi kaoa mwaka juzi tu na ndoa yake ilionekana kwa wapenda soka wote
Lete umri wao na wake tuone nani mkubwa zaidi.
Hata Samwel Etoo wakati akiwa na miaka 40 alidanganya kuwa ana miaka 34 hadi Mchumba wake ndio aliyekuja kumuumbua. kwa hiyo sio kila unachokiona kwenye mitandao ndio ukweli.Emmanuel Arnold Okwi (born 25 December 1992) is a Ugandan professional football player who plays as a striker for the Uganda national football team. He played football as a boy while at St. Henry's College Kitovu. In July 2015, he signed a five-year contract with the Danish Supaliga club, SønderjyskE Fodbold
We unasubiri nini humu kama mitandao haipigi kura. Mbona kutwa kumnadi kiazi mwenzio malihizi?Mitandao haipigi kura wewe popoma. Unajisumbua bure.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
zipo DHLZile points zetu za FIFA tutapewa lini?
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Kwa kuwa ni mchepuko wa mkeo nafikiri mkeo anajua umri sahihi wa OkwiMiaka 26 bado???? AFRIKA TUTAACHA LINI KUDANGANYA UMRI..???
Kwa kuwa ni mchepuko wa mkeo nafikiri mkeo anajua umri sahihi wa Okwi