Professional Okwi asaini 2yrs,amshukuru tajiri Mo Dewji

Professional Okwi asaini 2yrs,amshukuru tajiri Mo Dewji

Tuwekee hapa mwaka huo wa lunyamila tulinganishe hapo.. kusoma hakufanyi uwe mtoto... sheria za mpira wa miguu hujui wewe...

Haya basi wewe wajua zheria mimi sizijui. Lunyamila alikuwa mwanafunzi 1986 mpaka 1989 na muda wote alikipiga Biashara. David Mihambo alikuwa mwanafunzi wa Kigurunyembe na alikipiga Reli.

Tuache kubishana bwana. Subiri kipigo tu.
 
Okwi alipokuwa anajiunga na simba mara ya kwanza alikuwa na miaka 19 ..hesabuni miaka
 
Screenshot_2017-06-26-22-22-16.png
 
Wewe unajua ana miaka mingapi ?

Ivi Okwi ni mkubwa kuliko Kamusoko?
au Yondani au Zulu Mkataumeme au Kanavaro au Bissou, au Tambwe ?

Okwi kaoa mwaka juzi tu na ndoa yake ilionekana kwa wapenda soka wote

Lete umri wao na wake tuone nani mkubwa zaidi.
Tuache Ushabiki 26 hapana aiseee jamaa kazidi.Akina Kamusoko kudanganya umri hakufanyi umri wa Okwi nao uwe halali
 
Okwi alipokuwa anajiunga na simba mara ya kwanza alikuwa na miaka 19 ..hesabuni miaka
19??? how??? 1992 Dec 25 hadi 2010 ni miaka 19????? Tuliza shimo hilo afu uje hapa.. ndio maana tunaona uongo huu..
1992-2010 tena mwanzoni maana kipindi kile ligi ilikuwa hainzi mwezi wa 8... alifika simba akiwa na miaka 17 je ni kweli??????
 
Mimi sijali umri wake, ninachojua anakuja kuwafanyia Yanga usheitwani
 
Mm ni Simba damu tena weeee lakin hili la umri wa Okwi kuwa miaka 26 hapana hata kidogo. He is above that age plz.
 
Tuwekee hapa mwaka huo wa lunyamila tulinganishe hapo.. kusoma hakufanyi uwe mtoto... sheria za mpira wa miguu hujui wewe...
Kama una kumbukumbu mara ya kwnz okwi abakja simba alikua hajafkisha umri 18 na ndio mana mkataba aliekja ksign ni baba ake sio yy mkataba wa kwnz alisign baba ake wa miaka 2 na baada ya hapo ndo akawa anasign yye cz alkua kashafkisha miak 18 kumbka vzr
 
yani ni mzee kabisa eti 26 lakini tusishangae ndo utaratibu wa wachezaji wa kiafrica
 
Back
Top Bottom