Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,452
- 2,197
Twambie wewe sindo mama Yake ana miaka mingapi?Miaka 26 bado???? AFRIKA TUTAACHA LINI KUDANGANYA UMRI..???
Kama Mayai ni msomi basi Bashite atakuwa Msomi Aliebobea.Mmemshindwa msomi Ali Mayai sasa mmemgeukia Wambura
24Rufaa ya fifa imezimwa na okwi ..aliposaini simba mara ya kwanza alikuwa na miaka 24 ,amerudi baada ya miaka 7sasa ana mingapi?
Tuwekee hapa mwaka huo wa lunyamila tulinganishe hapo.. kusoma hakufanyi uwe mtoto... sheria za mpira wa miguu hujui wewe...
Tangu afe Mafisango Ubingwa mmechukua mara ngapi na Yanga kawa Bingwa mara ngapi?Sijui umezaliwa lini. Toka afe Mafisango mmefungwa mara ngapi? Na zile 5 bado mzimu kwenu...
Tangu afe Mafisango Ubingwa mmechukua mara ngapi na Yanga kawa Bingwa mara ngapi?
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Tuache Ushabiki 26 hapana aiseee jamaa kazidi.Akina Kamusoko kudanganya umri hakufanyi umri wa Okwi nao uwe halaliWewe unajua ana miaka mingapi ?
Ivi Okwi ni mkubwa kuliko Kamusoko?
au Yondani au Zulu Mkataumeme au Kanavaro au Bissou, au Tambwe ?
Okwi kaoa mwaka juzi tu na ndoa yake ilionekana kwa wapenda soka wote
Lete umri wao na wake tuone nani mkubwa zaidi.
[emoji23][emoji23]Jibu ni Okwiiiiii.
19??? how??? 1992 Dec 25 hadi 2010 ni miaka 19????? Tuliza shimo hilo afu uje hapa.. ndio maana tunaona uongo huu..Okwi alipokuwa anajiunga na simba mara ya kwanza alikuwa na miaka 19 ..hesabuni miaka
Kama una kumbukumbu mara ya kwnz okwi abakja simba alikua hajafkisha umri 18 na ndio mana mkataba aliekja ksign ni baba ake sio yy mkataba wa kwnz alisign baba ake wa miaka 2 na baada ya hapo ndo akawa anasign yye cz alkua kashafkisha miak 18 kumbka vzrTuwekee hapa mwaka huo wa lunyamila tulinganishe hapo.. kusoma hakufanyi uwe mtoto... sheria za mpira wa miguu hujui wewe...
Huu ndio undezi wa mashabiki wa Mikia kwao ni heri kumfunga Yanga kuliko kuchukua Ubingwa.Yanga subirini kutatuliwa
Alafu yakikosa ubingwa yanalia.Huu ndio undezi wa mashabiki wa Mikia kwao ni heri kumfunga Yanga kuliko kuchukua Ubingwa.